Hahahahaha! Tutasikia theory nyingi sana tu!
FIFA wapumbavu...wamemfungia sawa why,asiruhusiwe mazoezi?why Liverpool plans zivurugike sababu ya kosa timu ya taifa?Suarez,anahitaji pia msaada wa kisaikolojia...atafutiwe daktari
Fifa wanajua suarez ni threat kwa wachezaji wao wapenzi,messi na ronaldo,hata kma alifanya kosa bt punnishnment aiendani kabsa na kosa..ni kma vile kaua mtu bwana.
osokonoi
Kwangu Suarez anabaki kuwa bora na nina pendelea abaki sababu wengi tunaangalia one side ambayo tayari ni negative, nani asiyejua kwamba he is the world class player? Hatujiulizi kwanini wengine wanamtaka? Unataka kuniambia Suarez ni mkorofi zaidi ya alivyokuwa cantona?
Kuna kila sababu ya LFC na BR kumbakiza Suarez sababu ana njaa ya mafanikio, hebu tufikiri iwapo atauzwa je kutakuwa na 6, 5 or 4 goli kwa one match kwa hii blood england ambayo tunayo? Nahisi kuna some force from other manager kwenye media sababu wanaitambua habari yake uwanjani
If I am BR i can him
FIFA ni stupid ndo maana hata rais wa Uruguay anawaona kama son of b*tch
Suarez anahitaji msaada kisaikolojia,hili kosa analirudia mara ya tatu na wakati huu ni katika mashindano makubwa ya WC,kwenye adhabu FIFA ndio wamechemka adhabu ilipaswa iwe kwenye timu ya taifa tu na sio kwenye klabu level.Inaonekana Liverpool wameamua kumuuza Barca,Suarez ameomba msamaha Leo na inasemekana Barca wamemlazimisha aombe radhi na kuahidi kuwa hatarudia tena hilo kosa
ndugu yangu osokonoi watu wanafiki sana,leo wanamuona suarez kama muuaji flani hivi,kumbe moyoni wana yao! Kuna waandish wa kiingereza wana mapenzi yao binafsi kwa wapinzani wa LFC pale england wanataka kutumia gap hili kumuhamisha jamaa ili kuidhoofisha LFC,if i was John W Henry,nisingemuuza suarez popote pale,badala yake ningenunua striker mwingine,Sanchez-type,nikamuacha jamaa amalize ban yake arudi uwanjani kufanya yake
Wazungu (…among them British) wamekuwa wakijitetea kwamba they're standing for justice na ndiyo maana wanayaandika wanayoyaandika juu ya Lui.
Waandishi wanasema kama wao wanamchukia mbona wamempa kura zao na kumzawadia FWA footballer of the year award and leave out their nation's captain?
Kweli hatupendi Mie bado sijaona mpira wa Lallana japo Kuwa timu Kama Man United ndio iliyomtaka sana nimeshangaa LFC kumtaka Lallana na si Lazar Markovich ki ukweli LFC haikumuhitaji Lalana kubadilisha game labda kutokea bench LFC inahitaji beki na Middle zenye ubavu.Hongereni Lallana kifaa sana, mwakani sioni wa kuwasimamisha ngoja tuangalie na usajili wa timu nyingine za juu, vinginevyo ni L'pool all the way. Suarez naye adhabu yake inaweza kupunguzwa na kuwa miezi miwili tu hivyo Sept atakuwa ndani ya mjengo akifanya vitu vyake.
gullem balague wa Spain twitter yake pia nimeona kaandika Barca wameanza talk na LFC na Huyu jamaa akisema kitu kuhusu player Spain na EPL inakuwa kweli. Mie la Suarez vyovyote itavyokuwa itakuwa mazuri kwa yeye na LFC haina haja kumchukia akiondoka wakati alivyokuwepo tulimshangilia.wakuu yametimia! According to Liverpool ECHO,LFC have opened talks with Barca over a transfer of L.S! Wanatarajia kukutana jumatano jijini London kwa ajili ya kudiscuss deal na kuna posibility kubwa ya Sanchez kuwa part ya deal! Aione osokonoi The Boss MosDef Pazi Janjaweed reynod and all LFC family humu ndani
Kweli hatupendi Mie bado sijaona mpira wa Lallana japo Kuwa timu Kama Man United ndio iliyomtaka sana nimeshangaa LFC kumtaka Lallana na si Lazar Markovich ki ukweli LFC haikumuhitaji Lalana kubadilisha game labda kutokea bench LFC inahitaji beki na Middle zenye ubavu.
umesema kweli ila pia mabeki muhimu Kama Lovren nilivyosema wachezaji mabavu nimemanisha watu Kama style za Yaya,Fenandinho na Yule Reges kati unavunja vunja na kuzuia kinda zozote kupita hii inamsaidia beki kupumzika na kufikiria kuzuia bila Presha sababu Middle zinafanya kazi za unyama ndomana nikasema Lallana hakuhitajika Kuwa LFC tayari tuna Raheem na Coutinho labda Kama Bench Kuwa na watu wa kubadilisha Rogers lazima atafute Watu walioshiba na akili pale kati.mimi nadhani kinachoiathiri LFC sio ubovu wa mabeki wala middle,ni mfumo! Almost team nzima ni attaking minded,na mfumo wetu upo hivyo! Hebu angalia,mbele ya wale mabeki wanne yupo S.G peke yake,huo ni mfumo,team kama man city pale kati anacheza Fernandinho na yaya toure,sisi yupo mmoja tu,Gerald,ambye sio natural DM,ili kupunguza idadi ya magoli ya kufungwa pale LFC,mfumo ndo unaotakiwa kubadilika,kuwe na watu wawili wa kuwa cover mabeki pale mbele yao,otherwise hata umsajili middle gan duniani,kama atacheza mwenyewe pale kati tutaendlea kufungwa sana tu.
Ishu ya suarez kung'ata siyo ya mara ya kwanza, na kwa kuwa ni kitendo ambacho kimejirudia mara kwa mara ni kweli kuwa alikuwa anasitahili adhabu kubwa zaidi..
Lakini sidhan kama adhabu hiyo, ilikuwa inahitaji kuihusisha mpaka #LFC , coz amefanya kosa akiwa katika jezi na kwenye duties za team yake ya Taifa..so #LFC hakutakiwa kujumuishwa kwenye adhabu hiyo..nadhani FIFA walikurupuka sana kutoa ile adhabu, na kwa mtazamo wangu nahis vyombo vya habari vya uingereza na Italy vilichangia zaid kuleta presha katika maamuzi ya FIFA, ni kama tu English medias zinavyoiandama FIFA kuhusu quatar...
Na ni wazi kuwa, most of England journos wenye mlengo tofauti na #LFC hawamtak Suarez pale England..mfano tu, ni leo baada ya jamaa kuomba msamaha, rumours zikalipuka kuwa Barca wamemtuma aombe msamaha..asa hapo unajiuliza, Iweje club yake anayoichezea na inayompa mshahara isijali kabisa apology ya mchezaj wake, na hiyo apology ije kujaliwa na team ambayo haijaanza hata mazungumzo na #LFC ????