Mkuu hiyo sio source pekee iliyo report
http://www.koptalk.co.uk/201406051068/alberto-moreno-to-sign-5-year-liverpool-contract.html
INAELEKEA ISHU IMEBUMA!!
Dodosa ambazo zilipatikana kwenye vyombo vya habari kwamba Moreno was due to fly to Liverpool for medical zinaonekana kukanushwa kwa maelezo kwamba bado mazungumzo kati ya timu hizo mbili yanaendelea.
Inaelekea Sevilla wanataka nau la £16m liongezeke plus some of the bonuses and add-ons to be guaranteed by the Reds. Wakati Liverpool wanaelekea kuwa wagumu kuongeza huku wakipewa tumaini na kile kilichotajwa kwamba Morena ameonyesha nia binafsi ya kujiunga na majogoo.
Kumekuwa na taarifa kwamba huenda Totten nao wakaingia kwenye purukushani za kumsajili albert, huku ikidaiwa kwamba wataongeza dau. Hali hii bilashaka itamkera BR na huenda ikasababisha yaliyotokea kwa kono na willy
Imekaa vibaya ngoja tuone mwisho itakuwaje!!
Inaonekana dogo Samed Yesil, anaweza akatolewa kwa mkopo msimu unaoanza!!
Dah!!..dogo nadhani anahitaji muda wa kucheza uwanjani..atapata nafasi ya kutosha sana huko atakakoenda kwa mkopo!!
Itakuwa good move kwake binafsi na kwa Club pia..coz ni hazina ya club kwa badae..so acha akazidishe uzoefu!!!
Well, Conor coady na Jack robnson, wanauzwa moja kwa moja, ukiachana na kina sama na Ngoo ambao walishakuwa released from the Academy tangu last month!
Suso, nae Nadhan ataondoka moja kwa moja, kwa mpango wake wa kutaka kucheza mara kwa mara, sidhan kama itawezekana kwa LFC ya sahiv..so anaweza akatimka permanently safari hii..(HUGE MISTAKE)..
Luis Alberto, nae mkopo unamuhusu sana!!..Malaga or seville??!!..tusubirie tuone!!!
Coates, sijajua mustakabali wake uko vipi mpaka sasa..ila dogo ni CB mzuri sana, Amefanya vizuri sana akiwa kwa mkopo Nacional, mpaka ameitwa kwenye team ya taifa ya Uruguay..BR sijui ana mpango gani na huyu dogo!
Coates alipewa fursa ya kuonyesha kipaji chake, tena kwenye mechi za FA na akavurunda. Ni mchezaji mzuri lakini sio kwa LiverpoolInaonekana dogo Samed Yesil, anaweza akatolewa kwa mkopo msimu unaoanza!!
Dah!!..dogo nadhani anahitaji muda wa kucheza uwanjani..atapata nafasi ya kutosha sana huko atakakoenda kwa mkopo!!
Itakuwa good move kwake binafsi na kwa Club pia..coz ni hazina ya club kwa badae..so acha akazidishe uzoefu!!!
Well, Conor coady na Jack robnson, wanauzwa moja kwa moja, ukiachana na kina sama na Ngoo ambao walishakuwa released from the Academy tangu last month!
Suso, nae Nadhan ataondoka moja kwa moja, kwa mpango wake wa kutaka kucheza mara kwa mara, sidhan kama itawezekana kwa LFC ya sahiv..so anaweza akatimka permanently safari hii..(HUGE MISTAKE)..
Luis Alberto, nae mkopo unamuhusu sana!!..Malaga or seville??!!..tusubirie tuone!!!
Coates, sijajua mustakabali wake uko vipi mpaka sasa..ila dogo ni CB mzuri sana, Amefanya vizuri sana akiwa kwa mkopo Nacional, mpaka ameitwa kwenye team ya taifa ya Uruguay..BR sijui ana mpango gani na huyu dogo!
wewe Kama Mie japo timu ya taifa naishabikia Yule Lallana sijui wa nini baada kutizama Lovren na Middle za kinyama tu naye Raheem sasa Lallana wa kitu gani Kama sio kupoteza Pesa? Mwakani top 4 tunayo ila tutakuwa wasindikizaji Kuwania ubingwa tusahau Suso kweli Kama hataki Bench aende tu walete player na waache ubaili wakutoa mishahara ya week kwa Player wa nje mbona hawa wa Britain wanataka kuwapa? football is money wasipotoa kwa player wamaana Wenye nazo hawafikirii mara mbili muda mwengine naona SG avunjike aseme basi football ndio kati tutaleta wamaana ila Mie sina mengi nasikilizia zikaanza game sio naosajili sio naotoa pesa Mie kazi yangu Kuwa mshabiki ila nishachoka kuumia roho na wachezaji Price tag sio zao ni za mpira wa mchangani.Ila wadau hebu tuambizane hapa,hivi kwanin timu yetu imejaza waingereza vile? Mimi binafsi,sio shabiki wa mchezaji yeyote yule wa kingereza,afu naona BR ndo anazidi kuwaleta tu,halafu wana bei kubwa wakati hawana walijualo!
INAELEKEA ISHU IMEBUMA!!
Dodosa ambazo zilipatikana kwenye vyombo vya habari kwamba Moreno was due to fly to Liverpool for medical zinaonekana kukanushwa kwa maelezo kwamba bado mazungumzo kati ya timu hizo mbili yanaendelea.
Inaelekea Sevilla wanataka nau la £16m liongezeke plus some of the bonuses and add-ons to be guaranteed by the Reds. Wakati Liverpool wanaelekea kuwa wagumu kuongeza huku wakipewa tumaini na kile kilichotajwa kwamba Morena ameonyesha nia binafsi ya kujiunga na majogoo.
Kumekuwa na taarifa kwamba huenda Totten nao wakaingia kwenye purukushani za kumsajili albert, huku ikidaiwa kwamba wataongeza dau. Hali hii bilashaka itamkera BR na huenda ikasababisha yaliyotokea kwa kono na willy
Coates alipewa fursa ya kuonyesha kipaji chake, tena kwenye mechi za FA na akavurunda. Ni mchezaji mzuri lakini sio kwa Liverpool
Ila wadau hebu tuambizane hapa,hivi kwanin timu yetu imejaza waingereza vile? Mimi binafsi,sio shabiki wa mchezaji yeyote yule wa kingereza,afu naona BR ndo anazidi kuwaleta tu,halafu wana bei kubwa wakati hawana walijualo!
Coates alipewa fursa ya kuonyesha kipaji chake, tena kwenye mechi za FA na akavurunda. Ni mchezaji mzuri lakini sio kwa Liverpool
Lengo la kumsajili Lallana ni kupata options za attacking mid espcially ukizingatia kuwa Lallana ni super mtaalamu kwenye counter attack na atakuwa a perfect fit for Liverpool. Ila hastahili kununuliwa kwa zaidi ya 25 million pounds.wewe Kama Mie japo timu ya taifa naishabikia Yule Lallana sijui wa nini baada kutizama Lovren na Middle za kinyama tu naye Raheem sasa Lallana wa kitu gani Kama sio kupoteza Pesa? Mwakani top 4 tunayo ila tutakuwa wasindikizaji Kuwania ubingwa tusahau Suso kweli Kama hataki Bench aende tu walete player na waache ubaili wakutoa mishahara ya week kwa Player wa nje mbona hawa wa Britain wanataka kuwapa? football is money wasipotoa kwa player wamaana Wenye nazo hawafikirii mara mbili muda mwengine naona SG avunjike aseme basi football ndio kati tutaleta wamaana ila Mie sina mengi nasikilizia zikaanza game sio naosajili sio naotoa pesa Mie kazi yangu Kuwa mshabiki ila nishachoka kuumia roho na wachezaji Price tag sio zao ni za mpira wa mchangani.
Lengo la kumsajili Lallana ni kupata options za attacking mid espcially ukizingatia kuwa Lallana ni super mtaalamu kwenye counter attack na atakuwa a perfect fit for Liverpool. Ila hastahili kununuliwa kwa zaidi ya 25 million pounds.
Ningekuwa BR ningejenga defense na kuongeza lethal striker kama Sanchez kule mbele
Nakubaliana na mawazo yako. but Coates nimemwona games chache na he's soft!kama ni kuvurunda, haka akina suarez, beckham etc wameshawahi kuvurunda... Coates is one of the smartest defenders, he should be given more chances... hata Skertel kachemsha mara nyingi tu, Gerro ndio usiseme but the more chances they got, the better they got
unakumbuka Gerro wakati akiwa na bob style?
Mkuu kaangalie tapes za Lallana jinsi anavyo-flow na utamkubali kwa sanaaa especially kwenye counter attack. There are 2 players ambao ni balaaaaaaa na nomaaaaa kwenye counter. Lallana and Ross Barkley.kuna xeridan shakiri na konoplyanka watafit the bill na aanze kuwapa nafasi akina Ibe, they can do better than Lallana
definitely agreeMkuu kaangalie tapes za Lallana jinsi anavyo-flow na utamkubali kwa sanaaa especially kwenye counter attack. There are 2 players ambao ni balaaaaaaa na nomaaaaa kwenye counter. Lallana and Ross Barkley.
Ningekuwa BR ningemsajili Ross Barkley hata for 60 million pounds! He's the next Pirlo!!!!!!
Ross Barkley is currently the best mid in the EPLdefinitely agree
but with shaqiri and konoplyanka plus sterling, suarez, coutinho, ibe, suso, na yule mtaliano aliye sunderland, lalana seems to be a luxury
he is surely superb but not for 30M, and he is not a 90 min man
kwa barkley nakubaliana na wewe kabisa, he is a gem