Bengalisis
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 1,851
- 2,771
Maguire anafanya nn hapo?
Kuna muda wa kutosha sana mpaka tunafika kipindi hicho naamini tutapata mtu sahihi wa kuedeleza haya anayojenga Klopp...Angekuwa na qualities za ukocha bora angeisaidia timu ule wakati mgumu akiwa kama captain, ila na kwa jins anavyoendelea Rangers pamoja na kupewa support ya wachezaji na kuwa kivutio kule, naona kabisa hafai
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu huwezi jua ya kesho mi nimespeculate tu ...take it easy.Umemkosea sana heshima Paisley
Inafanya vizuri tu europa leagueAngalia Rangers
Sent from my iPhone using JamiiForums
Buvac hahahaha ! Kweli liver sihami[emoji23][emoji23][emoji23]Kuna muda wa kutosha sana mpaka tunafika kipindi hicho naamini tutapata mtu sahihi wa kuedeleza haya anayojenga Klopp...
Usije ukashangaa ukamuona Buvac akipewa mikoba Hahaha yajayo yanaogopesha...
YNWA
Bora mutoke mapema maana tutawala vibaya sana
Lampard unamuonaje, Gerrard akipewa ata Liverpool B ataweza kama Lampard??Tatizo la chelsea hawana kocha mzuri
Hahaha back to genggenpressing era kaka...
Ongezea Takumi...Players who have never lost a premier league game at Anfield since joining Liverpool:
—
[emoji1054] Alisson
[emoji633] Adrian
[emoji1179] Van Dijk
[emoji1022] Robertson
[emoji1054] Fabinho
[emoji1022] Oxlade-Chamberlain
[emoji1119] Keita
[emoji1237] Shaqiri
[emoji1211] Mane
[emoji1093] Salah
—
Sent using Jamii Forums mobile app
Michezi ya wakala hii kumpaisha ili wale hela ndefu. Unakumbuka ishu ya Pepe aliyeenda arsenal?? Utadhani anakuja liver vile...kumbe kloop hana hata time nae.
Huyu dogo namjua tangu yuko middle. Kitambi hiko mwemamba ndo alikiwa moto. Now namuona mmbeba vyuma tu.chief, ukifuatilia humu utakuta baadhi yetu tumekuwa tukimfuatilia huyu dogo kitambo kutaka atue Anfield some day.
Pepe ni mzuri sana, angecheza chini ya Klopp angekuwa super star pia.Michezi ya wakala hii kumpaisha ili wale hela ndefu. Unakumbuka ishu ya Pepe aliyeenda arsenal?? Utadhani anakuja liver vile...kumbe kloop hana hata time nae.
Sent using Jamii Forums mobile app
what's your point, chief?Huyu dogo namjua tangu yuko middle. Kitambi hiko mwemamba ndo alikiwa moto. Now namuona mmbeba vyuma tu.
Sent using Jamii Forums mobile app