nimesoma mahali BR amemtoa Suso kama part ya deal plus euro 20 mil kwa sevilla kumsajili Moreno,inaniuma,Suso ni mchezaji mzuri,bora angemtoa alberto plus aspas plus hyo 20 mil.
Tukimpata Huyo beki ya kushoto sio mbaya Sema magazeti wanapenda kuandika uzushi wa pesa kujaribu kuuza gazeti watu wanasoma online siku hizi, Mie naona wangempeleka Texeira apate ujuzi muda wa Suso kutoka bench pia Suso peke yake kwa maoni yangu ni 6m to 8m kwa muda huu.Looks like Suso is off again then!!!
Kwanini wasingewaoffer kina Luis Alberto, Aspas, Assaid, Coates au dogo texeira??..
#SMH
HAHAHAHAHAHAHAHAHA
#GEtIN , Skysports are reporting ishu ya Alberto Moreno,
Sad thing ni kwamba Suso ni part ya deal, but its confrimed kwamba ni LOAN, siyo Permanent!
Looks like Suso is off again then!!!
Kwanini wasingewaoffer kina Luis Alberto, Aspas, Assaid, Coates au dogo texeira??..
#SMH
Tukimpata Huyo beki ya kushoto sio mbaya Sema magazeti wanapenda kuandika uzushi wa pesa kujaribu kuuza gazeti watu wanasoma online siku hizi, Mie naona wangempeleka Texeira apate ujuzi muda wa Suso kutoka bench pia Suso peke yake kwa maoni yangu ni 6m to 8m kwa muda huu.

nani anataka squad player?(Aspas and co.) kama dogo anaenda kwa loan ni poa tu,lakini amebakisha mkataba wa mwaka mmoja tu na sisi,hoping wamlambishe mkataba,aende kuchukua experience za euro football.
mwenyewe alikuwa anataka kubaki liverpool time hii, so kama watampeleka Sevilla, watakuwa wanamforce tu!
Doh Shaqhiri na Tello ni watu wawili Naomba wasije LFC jamaa ni wachezaji wakawaida sana Shaqhiri Ana game moja atawika sana game 10 hamna kitu Tello ndio bado sijui dogo anachosifiwa kwenye mpira ni kitu gani labda sababu anachezea Barca? Tulete watu wamaana.kama ni kwa loan aende tu aache ubishi,pale yupo brazilian litle magician,sterling,Ibe,Allen,Hendo,can't see him getting enough playing time honestly! Na bado plan zenyewe ndo za kusajili akina Lalana,Shaqiri unadhani suso atapata game time mkuu? Hata kama kuna CL,sioni namna atapata chance,but he's superb.
Doh Shaqhiri na Tello ni watu wawili Naomba wasije LFC jamaa ni wachezaji wakawaida sana Shaqhiri Ana game moja atawika sana game 10 hamna kitu Tello ndio bado sijui dogo anachosifiwa kwenye mpira ni kitu gani labda sababu anachezea Barca? Tulete watu wamaana.

kama ni kwa loan aende tu aache ubishi,pale yupo brazilian litle magician,sterling,Ibe,Allen,Hendo,can't see him getting enough playing time honestly! Na bado plan zenyewe ndo za kusajili akina Lalana,Shaqiri unadhani suso atapata game time mkuu? Hata kama kuna CL,sioni namna atapata chance,but he's superb.
Mie ndio wamuitemesha juice yangu ya embe sky sports news sitizami tena hizi news zinatowa Hamu ya msosi bora nishibe ugali wangu wa Muhogo na nyama choma na majani.LFC hapa ndo huwa inanishangaza! Nimeona sky sources wanasema LFC imekaribia kumsajili Lambert,mzee wa miaka 32 kwa euro kati ya 8 na 10 mil,hiyo pesa mbona inatosha kumsajili Loic remy? Au kwa kuwa sio mwingereza? Poor BR na transfer comitee yako kama haya ni ya kweli.
LFC hapa ndo huwa inanishangaza! Nimeona sky sources wanasema LFC imekaribia kumsajili Lambert,mzee wa miaka 32 kwa euro kati ya 8 na 10 mil,hiyo pesa mbona inatosha kumsajili Loic remy? Au kwa kuwa sio mwingereza? Poor BR na transfer comitee yako kama haya ni ya kweli.