Bengalisis
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 1,851
- 2,771
Firmino na hana good game leo ameni disappointed
Gini aisee.... HahahaGomez yu bearded nigga...
Time and time again you shine and shine..
Majeruhi yakupita mbali..
GINI taa limewaka..
Imenibidi nimchunguze mara mbili mbili ni Bobby kweli au ni macho yangu yupo poor mno.
Has been Fantastic in midfieldGini aisee.... Hahaha
Jamaa anakaba mkuu... Ningekua team pinzani ningelia walahi mani
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli Bobby leo hayuko sawa aisee!Imenibidi nimchunguze mara mbili mbili ni Bobby kweli au ni macho yangu yupo poor mno.
Hahaha boy is on song unstoppable...Gini aisee.... Hahaha
Jamaa anakaba mkuu... Ningekua team pinzani ningelia walahi mani
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa hawa jamaa ni kama wapo EPL muda tu kumbe wametoka mchangani msimu huu na huyu kocha wao hakutaka kuwatema wachezaji wake wengi waliowapandisha ndio maana Wapo so compact and solid...
Gini can protect the ball like crazyGomez yu bearded nigga...
Time and time again you shine and shine..
Majeruhi yakupita mbali..
GINI taa limewaka..
I tell you he is a baller... we paid $25m for our 4th Captain and I can say he is a cool bargain...Gini can protect the ball like crazy
tayar[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kabisa hawa jamaa ni kama wapo EPL muda tu kumbe wametoka mchangani msimu huu na huyu kocha wao hakutaka kuwatema wachezaji wake wengi waliowapandisha ndio maana Wapo so compact and solid...
Watulie hapa ndio Anfield sio mahala salama Kwa wageni kutoka popote pale...
YNWA
Anfield fortress record is intact...
Hizi game 3 ,4 Henderson amekuwa akicheza kama real captain hahahahahahahahah
Nimeota Kama Vile Leo Majogoo Tunaloweshwa Kimoja![emoji22][emoji22][emoji22].
Hawa "Blades Sio Kabisa".
Tunatakiwa Tutulie Mbayaa. Majeruhi Yooote, Sijui. Vijana Kazeni Buti, Tusifungwe Msimu Huu... Hata Msimu Uliopita, Robertson Ndiye Aliharibu Kwa Kutia Gundi, Akitabiri Kutofungwa!
Ndio Maana Msimu Huu Wote, Wako Kimyaaa... Waaona Kinachoendelea...
Sent using Jamii Forums mobile app