Ni Egos ndio imemponza Rogers ndomana nampenda Wenger hana maneno na mtu watu ndio wanamtafuta mtu unatakiwa uwe Cool! Mashabiki wake tu Arsene ndio ovyo Rogers anajisikia abadilike hapo tu ila haibadilishi kama ni Manager mzuri atajifunza, Mosdef wacha kulalamika ndio ishapita tena ikirudi wanasema Pancha na Pancha ndio matairi yashapata kama nilivyokwambia jana ili Pain ila kwenye ndoto nishamaliza nipo Reality na kukumbuka hakuna aliyefikiria tutakuwa hapa so top 4 sio mbaya mwakani ndio alalamikiwe huyo unayemuongelea na timu tumefika Top 4 kutoka 6 mwakani lisipofanyika kitu ndio nitakupa hata Gun nenda kamalize mtu pale LFC, Arsenal kila siku walipiga kelele na Wenger siumeona huu mwaka watabeba ndio football na watu wakawaambia kama wanavyosema sasa hivi ah LFC mwakani ndio basi tena, wanajisahau LFC ilipotoka. Kama ww na timu hii iliyotoka 6th mpaka top 4 unalalamika je Man U walalamike vipi au timu kama Chelsea walalamike vipi? Wakati hao walitegemewa sie juhudi ndio ilipotufikisha siwezi kuilaumu LFC Mwakani mungu akituweka hai ndio nitajua kuilaumu wapi. Ila tu Lucas aondoshwe na wawepo watu ambao anaweza kuwekwa Bench.
ile Patnership ya SC na KD ilikuwa ni noma, japokuwa we didnt perfome well, lakin tuliconsd goal chache sana!!
Tunahitaji mtu kama Steve Clark pale!!
ha ha ha ha! Mkuu MosDef,BR anawaza magoli tu.kweli kbs sitoshangaa kumuona lalana mapema kbs pale lfc badala ya mtu kama fernando yule wa porto
Mkuu Pazi upo sahihi, Lakini kinachoumiza sana ni kwamba msimu huu umeisha vibaya sana kuliko misimu yote ambayo Liverpool imewahi kucheza..Thats y suarex cried!!
We had the PL title mikononi mwetu, kabla ya Game ya Chelsea, ingawa tulipotea kwa hyo misimu mi3, kwa sehemu tuliyofikia Msimu huu, tulitakiwa tufanye better zaid, hakuna excuse hapo mkuu Pazi..
99 goals, 11 wins mfululizo, top scorers wote wawili, huwezi kusema hiyo ni bahati mkuu Pazi..we deserved this!!!
Tumejiharibia tu wenyewe!!!
Na nakwambia hapa mkuu Pazi, Mchezaji wa kwanza atakayesajiliwa na Liverpool this summer atakuwa ni Lallana tu..
Asa sjui kama tunamuhitaji Lallana Liverpool!!!
Kinachoumiza zaidi ni kwamba Tulikuwa close sana na PL title..but we blew it away!!
Anyway, Yote ni heri tu, lakin apart from Lucas, pia sakho, Cissokho, GJ, Moses, Aspas waondoke watuachie team yetu tu!!!
Kinachoumiza zaidi ni kwamba Tulikuwa close sana na PL title..but we blew it away!!
Anyway, Yote ni heri tu, lakin apart from Lucas, pia sakho, Cissokho, GJ, Moses, Aspas waondoke watuachie team yetu tu!!!
BR is still learning..pressure za ubingwa zinataka kukomaa sana 'mentally'.
si umeona hata ATM wamepotea mechi kule kwao LA LIGA?
kuwa bingwa unahitaji kocha ambaye ni 'winner' ndani ya nafsi yake.
BR is a good guy, but you need someone like SC to help you better your defensive skills.🙂
Ni Egos ndio imemponza Rogers .....
Ngoja nikunong'oneze mkuu:
that's why mie nampenda Mourinho. Kwa sababu jamaa anachukia kufungwa..fikiria kamba Chelsea Fc ingekuwa na Suarez kule mbele under Mourinho...ingekuwaje?
sisi tunampanga Luiz pale kwenye kiungo ili kuimarisha ulinzi. BR alipaswa kumpanga Agger mle ndani baada ya jamaa kuchomoa goli 1.
Huyu Cissokho angecheza na Dan Agger angecheza pia..timu ingekuwa imara kwa dakika 10 zilizosalia. Poleni sana..
This season was your 'turn' but we'll be back in August. Poleni.:A S cry:
BR is still learning..pressure za ubingwa zinataka kukomaa sana 'mentally'.
si umeona hata ATM wamepotea mechi kule kwao LA LIGA?
kuwa bingwa unahitaji kocha ambaye ni 'winner' ndani ya nafsi yake.
BR is a good guy, but you need someone like SC to help you better your defensive skills.🙂
nakuunga mkono wote hao,kasoro mmoja tu,na najua unamjua
hahahahah!!!!
Sakho should be sacked!!!
he's not a liverpool material!!!
Kweli Kazi walioifanya LFC kama timu ilitakiwa iwe bingwa basi ni wao silalamiki ila nataka kufahamisha kitu 10 LFC ilifanya vizuri bila Suarez na katikati SG alikosa Game muhimu bado LFC ilishinda so Suarez kasaidia sana ila magoli yake naye yametokea kwa Sturidge n Handerson inaonyesha Suarez hata asipokuwepo na na uhakika atakuwepo aendi sehemu haitoharibu kitu mwakani LFC kwangu mie binafsi Lallana pia sio wakuwepo LFC yatakuwa ya Downing soon LFC inahitaji Middle wenye nguvu Gastavo,Porto Reges Octopus, Sporting Lisbon Carlvalho au KRoos vitu kama hivyo watu wenye nguvu zao Lallana ndio middle mfungaji ila tayari una Middle skill Coutinho,Raheem si bora utengeneze huku ambapo SG yupo akae Bench kuliko kupoteza pesa kwa Lallana bora wamvute Barkleys wa Everton dogo LFC Fan sema yule Everton hawatowauzia LFC na English Players wanakuwa ghali bila sababu kwa ujumla Andre Wisdom arudishwe kulia Glenn J auzwe aje mwengine mie katikati ndio kukae sawa Sturidge ata flow zaidi Suarez akiondoka itabidi awepo natural number 9 Suarez atabaki ila pesa ya Suarez pia itaunda timu vizuri Torres alivyoondoka kwani walisemaje? Top 4 timu wanaondoka ma striker wanarudi strikers kazi mie naona ni Middle enzi za Sissoko,Alonso,Hamman,Mascherano na SG hakuna namna hiyo ndio inatakiwa kuwepo inafanya beki kuonekana bora City Middle zake au Chelsea zinauwezo wakufanya Titus Bramble aonekane ni Paulo Maldini.
Sasa kwanini mtu UJUTE? UMELAZIMISHWA KUSHABIKIA LI TIMU BOVU LENYE MABEKI WABOVU NA KOCHA MBOVU?
TIMU INAONGOZA GOLI 3 BILA. ALAFU ZINARUDI ZOTE?!!!! KHE KHE KHE KHE KHE!
Mtalalamika Na Hapa CP walipaki Bus!
Ego aliyopewa na media. Alikuwa anataka kufanya vitu viwili kwa wakati mmoja. Kwanza, Liverpool kushinda ligi kwa mbwebwe. Pili kuifurahisha media na neutrals kwa kucheza attacking football. Media ilipoanza kuwapaka mafuta na kuwafagilia, wakijisahau. Wakadhani mpira ni ku-attack na ku-attack tuu.
Ile mechi ya Norwich walikuwa wafungwe au watoe sare kwa kushindwa ku-defend. Still BR didn't learn anything from that game. Critics walioangalia ile mechi ya Norwich walisema wazi kuwa kama Liverpool itaendelea kucheza vile basi kushinda ligi itakuwa ngumu sana. They were letting in too many goals.
The bad thing ni kuwa kwa sababu media ilikuwa inaifagilia Liverpool kwa kuwa na attacking football, no one really bothered to highlight their defending weakness.
And Liverpool supporters and most important ex-players ambao wengi ni pundits seemed to move with the British hyped media. Only Gary Neville nilimsikia akisema kuwa you can't win the league if you let in too many goals. Ni bora kushinda goli moja kuliko 3-2. But kwa sababu ni ex-Man Utd player wengi walidhani..... Jana kasema yake yale.
BR atajifunza from what happens this season. He should not play for the media, but for Liverpool and Liverpool only. Liverpool interests should come first hata kama ni kushinda kila mechi kwa goli moja. Sidhani kama mashabiki wa liverpool watamind kwa kushinda ligi in ugly way ikizingatiwa they haven't win the league for decades now.
Kama wakiendelea kucheza kwa minajili ya kufurahisha media na neutrals Liverpool will keeping walking alone at the end of every season. Watakuwa kama Arsenal. Playing attacking football without winning trophies.
You must defend. The media will not defend for you. In fact, the media is only interested when a team let goals in many goals.
Mwenzio afadhari kapata sare wewe ulibanduliwa.
huwezi amini mimi ni huge fan wa sakho,kama BR alivyo kwa allen! Yule jamaa ni noma sana,ana minguvu ana marking ya hatari! Anakosa cover tu pale mbele,ipo siku utayakubali maneno yangu mkuu,yule jamaa ni bonge la beki,anakosa experience na pl tu,halafu he's just 24 yrs,still has more to learn.
Mwenzio afadhari kapata sare wewe ulibanduliwa.
BR is still learning..pressure za ubingwa zinataka kukomaa sana 'mentally'.
si umeona hata ATM wamepotea mechi kule kwao LA LIGA?
kuwa bingwa unahitaji kocha ambaye ni 'winner' ndani ya nafsi yake.
BR is a good guy, but you need someone like SC to help you better your defensive skills.🙂
Sakho angekuwa right footed player, angecheza vizuri sana na Agger, tatizo wote ni left footed players, hawawez wakacheza pamoja as centre-backs..
So kwa mtindo huu, wa sakho na mwenzie Skritel, UCL akina Messi watavunja records zao zoooote kwa beki hii ya Liverpool!!