Nyie mnaweza kuona ni mabeki Mie bado siamini ni mabeki ni Middle za kati hakuna anayelala na mtu hakuna middle mwenyenguvu za ku tawala kati wakiwa nao LFC watu wakati wenyewe Nguvu na kupiga mashuti ya nje na kufyekafyeka kati basi mabeki hawatokuwa na tabu Brendan Rogers sio mbaya jamaa timu alipoirekebisha na yoyote anayeijuwa LFC anajuwa Rogers kaibadilisha uzuri Leo alipochemsha bado sijajuwa wapi ila Middle SG anacheza kwa ujuzi ni Handerson tu ambaye anaweza kuweka ubavu na mtu nakulala na mtu Kila mtu alisema City na Chelsea na United ndio watatowa ubingwa so City anahaki well done to City, Struridge nampenda as striker ila apende kutoa Pasi haraka naye tutaongea mpaka Keesho kila timu imefanya makosa yake ila wengine yamezidi naipenda LFC na nitaendelea kupenda LFC football Club na Mashabiki wenzangu Humu wa LFC na Wakipinzani na wapenda sana sasa mtanipata Kumbi za jamiiforum NBA au Dini mkimuhitaji Pazi hehehehe najuta kuwajua.
Tuongojeee tu
Tangu Partership ya Skritel na Sakho ianze, haijawahi kutoka na Clean sheet hata siku moja, Yet bado kama kocha Huchukui hatua zozote zile, unamweka Agger bench sababu ya Sakho??
What the f.ck??
Dunia ipi ya mpira ushaona managers wanatumia centre backs wote wanaotumia nguvu tu bila akili???...Skritel na Sakho ni mizigo kwenye team, Patnership yao haijaleta clean sheet yoyote ile, still una world class defender Agger, Exprienced na PL, afu katika game yenye pressure kama hii unamweka bench!!!..unatemea mtu kama Sakho akusaidie??
Najua atakumbilia kujitetea kuwa kikosi ni kidogo, lakini huo ni uongo, upo ugenini, tayar unaongoza 3-0, lazima uchukue hatua kama coach kuyalinda hayo magoal coz unayahitaji kuliko kitu chochote kile!!!
Utakuwa upuuzi tu kumsifia BR, kwa blanda alizozifanya leo!!!
Hap ndo ninapomkumbukaga Gerlad Houlier na Rafa Benitez!!!
Imeniuma sana leo!!!
Unamweka Bench Agger kwenye game kama hii, inamaana alishindwa kuona kuna kuwa, Norwich city tulishinda 3-2, Chelsea tukafungwa 2-0, na leo bado unaendelea na Partnership ya kipumbavu hiyo hiyo???
Nimemshusha vyeo vyote BR kwa hii siku ya leo!!!
Coz ujinga anaofanya hajui unaumiza watu kiasi gani!!!
Na kwa mtindo huu sidhani kama CL tutafanya chochote kama tu board wasipoajori Kocha wa defense!!!
Out defense is trash, na it sucks kuona kocha na bench lake la ufundi wameshindwa kabisa kurekebisha hicho kitu..na when you have a centre-back like Agger what more do you need???
we will win nothing! Just nothing! Stop dreaming brother,our team was not serious today! Sometimes najuta kuipenda timu kama hii! Wallah kama angekuwa mwanamke ningemuacha leo hii hii! I've never been disappointed kiasi hiki! Namuhurumia suarez,hastahli kucheza na beki vilaza kiwango hiki! Ningekuwa mshauri wake,i would have advised him to quit lfc at the the end of the season,aende timu yenye quality yake!
....
What the f.ck??
Dunia ipi ya mpira ushaona managers wanatumia centre backs wote wanaotumia nguvu tu bila akili???...
.........what more do you need???
hata wewe ? Haya mkuu.Inasikitisha sana Kombe lilikuwa lenu mechi tatu zilizopita afu mme-blew it. Baada ya kumfunga Norwich kama sikosei mlikuwa mnaongoza kwa point 5 afu mmepoteza point 5 zote katika mechi 2. Noma sana. Anyway, msimu ujao itabidi mjiulize sana, lakini naamini kwenu itakuwa vigumu kurudi juu kama msimu huu. Hata kama Real Madrid hawatamfuata Suarez lazima ataondoka.Naamini Chelsea, Arsenal, Man Utd, Juventus, PSG, Barca wote watamsarandia kuanzia kesho.
Nyie mnaweza kuona ni mabeki Mie bado siamini ni mabeki ni Middle za kati hakuna anayelala na mtu hakuna middle mwenyenguvu za ku tawala kati wakiwa nao LFC watu wakati wenyewe Nguvu na kupiga mashuti ya nje na kufyekafyeka kati basi mabeki hawatokuwa na tabu Brendan Rogers sio mbaya jamaa timu alipoirekebisha na yoyote anayeijuwa LFC anajuwa Rogers kaibadilisha uzuri Leo alipochemsha bado sijajuwa wapi ila Middle SG anacheza kwa ujuzi ni Handerson tu ambaye anaweza kuweka ubavu na mtu nakulala na mtu Kila mtu alisema City na Chelsea na United ndio watatowa ubingwa so City anahaki well done to City, Struridge nampenda as striker ila apende kutoa Pasi haraka naye tutaongea mpaka Keesho kila timu imefanya makosa yake ila wengine yamezidi naipenda LFC na nitaendelea kupenda LFC football Club na Mashabiki wenzangu Humu wa LFC na Wakipinzani na wapenda sana sasa mtanipata Kumbi za jamiiforum NBA au Dini mkimuhitaji Pazi hehehehe najuta kuwajua.
BR amefanya kaz kubwa sana,kuhusu mabek skrtel na agger bado ni partnership mbovu kwahiyo wanahitajika mabeki wengine ili kuimarisha safu ya ulinzi
we will win nothing! Just nothing! Stop dreaming brother,our team was not serious today! Sometimes najuta kuipenda timu kama hii! Wallah kama angekuwa mwanamke ningemuacha leo hii hii! I've never been disappointed kiasi hiki! Namuhurumia suarez,hastahli kucheza na beki vilaza kiwango hiki! Ningekuwa mshauri wake,i would have advised him to quit lfc at the the end of the season,aende timu yenye quality yake!
nani kakwambia lfc inatatizo la beki? Hakuna tatizo la beki lfc,kuna tatizo la DM. Hakuna DM wa kueleweka pale,watu wanaowalaumu mabeki wanakosea sana! Hawana cover,hakuna mtu wa ku block movements pale katikati! SG sio defensive minded! Na utashangaa BR anasajili winger,full back,anaacha DM.tunahtaji pale kati mtu wa calibre ya yaya toure,fernandinho,hv

kwa game ya leo, unalaumu centre mids??
Ukisema tatizo ni DM, man city wana Fernandnho na Kina Jav Garcia..lakina how many clean Sheet wanazo msimu huu???
Beki aina ya sakho na GJ, utawalaumu Central Mids???
Sijui kwanini watu wanashindwa kuona ubovu wa beki ya Liverpool!!
kwa game ya leo huwezi kulaumu viungo wa kati hata kidogo..
And Glen Johnson has to Go!!