Usikate tamaa mkuu...hao jamaa bado wana kiporo kimoja. Wanaweza kung'ang'aniwa tu hata kwa droo moja then ikawa advantage kwetu.
Cha msingi tusipoteze gemu zetu...I mean hata moja! And with the current momentum tunaweza!
man city bado hajamalizana na Everton tena man city anamfuata kwao hii game city anaweza aka Lizwa ila kwa game zilivyobakia kuna game Hakika atadondokewa tuu.
ila mm naomba tu mungu game yetu na Chelsea tumfunge tukichukua 3 point kwa Chelsea hapo sasa kauli lugha na nyimbo ni 1 tuu ni kuuimbia ubingwa kwa nguvu zote.
mungu awe upande wetu aisee maana tukifungwa na Chelsea kerere zote za ubingwa na ndoto zitakuwa zimezimwa aisee
Mkuu mbona hueleweki? Au kiswahili kwako ni tatizo niandike kibritish!!!
Usikate tamaa mkuu...hao jamaa bado wana kiporo kimoja. Wanaweza kung'ang'aniwa tu hata kwa droo moja then ikawa advantage kwetu.
Cha msingi tusipoteze gemu zetu...I mean hata moja! And with the current momentum tunaweza!
kweli mkuu,hatutakiwi kupoteza game yeyote ile,tukipenya kwa chelsick tutakuwa na nafasi kubwa sana,ila kumfunga chelsky pia ni kazi ngumu! Lolote laweza kutokea kwenye mpira! Kama ipo,ipo tu.
https://www.jamiiforums.com/sports/22826-liverpool-fc-special-thread-342.html#post9296830
Jisome katika link ulivyondika. Je wewe pia una tatizo la Kiswahili (Kiswahiri)?
Khe Khe Khe Khe
Tunatisha bhajameni! Mnakiri hazarani kwamba kuifunga Chelsea ni kz ngumu! Khe Khe Khe Khe
agosti 8 na Mentor njooni muone hawa bandugu WANAKIRI HAZARANI Chelsea hawawezi kuifunga!
MosDef Gwamahala Baba Kelvin @jawlaws
Tunakuja kumchinja jogoo hapo tarehe 27.
siyo wote hapa ambao wanaona kuifunga Chelshit ni kazi KUBWA!!!'
Kila mtu ana mitazamo yake hapa!!!
Kwa mfano, mimi naona ni kazi nyepesi saaana kuifunga chelshit, ugumu unaokuja ni kwenye kuchagua idadi ya magoli ya kuwafunga ndugu Ntuzu..!
Khe Khe Khe Khe
Tunatisha bhajameni! Mnakiri hazarani kwamba kuifunga Chelsea ni kz ngumu! Khe Khe Khe Khe
agosti 8 na Mentor njooni muone hawa bandugu WANAKIRI HAZARANI Chelsea hawawezi kuifunga!
MosDef Gwamahala Baba Kelvin @jawlaws
Tunakuja kumchinja jogoo hapo tarehe 27.
Khe Khe Khe Khe Khe
Ukweli mnaufahamu Vzr Ndio maana ndugu Yako huyo tena shabiki mkubwa Wa loserfool anakiri hazarani!
Ndugu yangu... kumbe hujaelewa!
Sisi kila timu tunaizungumzia...ukifuatilia hata Norwich City tuliongelea jinsi tunavyoiogopa na ndo maana huwa tunafanya maandalizi ya kutosha hence USHINDI!
Rejea hata tulivyokuwa tunaijadili Man City... kilichotokea unakijua. The same will happen to you Chelsea!
Mtu mmoja asikufanye ukadhani wote tunaogopa...I think you know moto tulionao and mind you pale ni Anfield siyo darajani!
Khe Khe Khe Khe
Tunatisha bhajameni! Mnakiri hazarani kwamba kuifunga Chelsea ni kz ngumu! Khe Khe Khe Khe
agosti 8 na Mentor njooni muone hawa bandugu WANAKIRI HAZARANI Chelsea hawawezi kuifunga!
MosDef Gwamahala Baba Kelvin @jawlaws
Tunakuja kumchinja jogoo hapo tarehe 27.
Siku bendera za BLUE zikiwa juu pale anfield MOTO wenu siku itakua ni kutembea UPWEKE.
We are the team with special spirit!
Mtu mmoja asikufanye ukadhani wote tunaogopa...I think you know moto tulionao and mind you pale ni Anfield siyo darajani!
Khe Khe Khe Khe Khe
Ukweli mnaufahamu Vzr Ndio maana ndugu Yako huyo tena shabiki mkubwa Wa loserfool anakiri hazarani!
Khe Khe Khe Khe Khe
Ukweli mnaufahamu Vzr Ndio maana ndugu Yako huyo tena shabiki mkubwa Wa loserfool anakiri hazarani!
Ntuzu tukutane kule kwetu; maana hapa watakuja wale wanaotumia nguvu kuliko akili watakutukana.au umesahau?