Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mtawatukana lakini ndo waliotupa CL. Na watatupa EPL mwakani huku mkiwatukana. Namuamini Kloop anajua anachofanya. Jamani hata usajili ufanyie vipi hawezi haribu ile 1 st eleven yake. Na ndo maana hawezi leta countinho pale. So hakuna mchezaji wa kuja kuanza first 11 pale maama itabidi mane au salah au fabinho au gini wakae bench. So wachezaji watakaokuja ni wale watakaokubali kukaa benchi kama shaqiri. SQUAD PLAYERS ONLY. Hata huyo beki tatu mbadala wa robertson ni atakula mkeka tu mpk capitol cup ndo acheze maana robo haumii kihivyo.
Mtu pekee atakaye kuja ni striker LABDA ndio anaweza kuanza lakini pia kama ORIGI haondoki...na BWRESTER atakuwa analata minutes. Pia mnaweza mkasahau hata huyo striker.
Kumbuka agust 8 ligi inaanza na agust 7 nadhani dirisha linafungwa na now ni july 5.
 
Liverpool confirm the list of 16 players retuning for the first day of pre season.
Arroyo, Brewster ,Clyne, Fabinho
Gomez, Kent ,Jones ,Hoever,
Lallana, Matip, Milner ,Phillips
Chamberlain, Wilson ,Woodburn
.Van den Berg.
 

Samahani Mkuu! Hivi umeisoma hiyo post uliyo iquote? Mbona kilichoelezwa ni tofauti na ulichoeleza wewe?
 
penye ukweli tuseme ukweli ndugu tulishdwa kupata ubingwa kwa kukosa kikosi kipana hicho ndio kimetunyima EPL...tumeshuhudia Hendo akicheza RB, tumeshuhudia Milner akicheza LB an RB, tumeshuhudia Fabi akcheza CB au CC...hayo yalifanyika kwa vile hatukua na kikosi kipana kama wenzetu Manciti...

Ishu watakosa minutes wakija inafahamika lakini kwa juhudi zao wanaweza wakiingia 1st 11 case study ni Fabi...hata Mahrez alikua mchezaji ghali zaidi Manciti na alikua anasugua benchi kwa vile wengine wanacheza bora zaidi yake..hivyo kusema hawataingia kikosini direct ni sawa tu tunahitaji ushindani wa nafasi sio kua hata miliki ya namba kama ilivyo sasa kwa Mane, Firmino nk...

Ukweli haupingiki tunahitaji depth in every position ndio twende sawa na Manciti...ikifika Jan/Feb loss of form ya wachezaji itatucost kama miaka yote..hapo ndio tunapokosaga ubingwa kwa wachezaji kua hoi na hatimae na tunaishia kutoa draw...

Brewster bado ni amateur until he prove himself at this level...

Origi is just Origi he has come of age,given chances he il continue to impress...

kama ulivyosema muda bado upo tusubiri...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…