Baba Kelvin
JF-Expert Member
- Apr 6, 2014
- 788
- 139
We ulitegemea nitoe moani km ya kwako Mkuu?
Mi sifanyi kz ya uchambuzi kwamba nisiweke mapenzi Ktk timu yng! Isitoshe hao wachambuzi Wa ulaya au Uk hayo nayo ni maoni Yao na Mimi ni maoni Yangu! Km ikija tokea kutokana na msimamo Wa ligi ulivyo sasaivi Chelsea ikawa bingwa Wewe utashika maoni gani ya hao wachambuzi au ya kwangu?
Naelewa Vzr kuchambua soccer Ktk uhalisia kwa timu zote au kutokana na msimamo Wa ligi jinsi ulivyo Lkn tunapishana sehemu ndogo tu na nyie pale mnapoitoa Chelsea Ktk huo ushindani na wakati km tukiwafunga ndoto za ubingwa zinapotea kabisa! Chelsea uwezo Wa kushinda anfield anao sn tu tena mkubwa tu!
Ktk uchambuzi wako ata km Unasema Kua Wewe ni mpenzi Wa soccer usizungumzie Liverpool tu na man city wakati chelsea ana uwezo Wa kufanya mapinduzi tarehe 27 na mkawa nafasi ya 3.
Wewe na ndugu Mr. Wise Mkitaka tuchambue soccer Ktk uhalisia wake anzisheni thread ingine Lkn tukikutana humu kwa thread yenu au yetu lazima mapenzi ya timu yawe mbele!
Na ki ukweli ni kwamba Chelsea uwezo Wa kuifunga Liverpool anfield Upo Na tunao tena mkubwa tu!
Kwahiyo tunaongea kitu kwa uhakika na si ubishi km mnavyosema nyie!
Kweli wewe ni mr Hekima humu utapasuka kichwa bure the majority tuna mahaba niue na timu zetu!!
Mkuu una mahaba niue wewe. Assume mechi zote ulizobakiza ukashinda na man city mechi zote alizobakiza akashinda nani anachukua tittle hapo!!?
itakuwa 4-3-3 vs 4-2-3-1.
Martin Skirtel vs Demba Ba(or Eto'o)
nyuma ya Ba kama kawaida: the three 'playmakers' Oscar-Willian-Hazard; or Mo Salah-Oscar-Hazard..mtajeruhiwa sana..hapo kwenye beki zenu.
kati sasa ndo patamu. Gerrard vs Matic(spider man); Ramires "box to box midfielder...
washambuliaji wenu: SSS watakiona cha moto: kushoto Dave - Cesar Azpilicueta; kulia Ivanovic..kati sina hata ya kusema the strongest partnership: Cahill and Terry.
mechi ya kwanza pale kati tuliwatuliza kabisa walicheza Lampard na Luiz; sasa tunaweka ufundi kidogo kwa kuwawekea Matic, tukitaka tunaweza kuweka Matic na Mikel ndo mtakuwa hampiti kabisa vijogoo....
tarehe 27 si mbali..:high5:
Atachukua city na ndio Maana nikasema hapo nyuma kwamba Liverpool nafasi ya Kushiriki CL next season ameipata Lkn sio ubingwa coz Ushindi Wa liver Ktk game yetu ya 27 ni droo vinginevyo tunawafunga!
Atachukua city na ndio Maana nikasema hapo nyuma kwamba Liverpool nafasi ya Kushiriki CL next season ameipata Lkn sio ubingwa coz Ushindi Wa liver Ktk game yetu ya 27 ni droo vinginevyo tunawafunga!
Hahahahaha! Ntuzu bana sijui kinachokufanya ujiamini nini?? Mie nasubiri tar27 baada ya dk90 utasema nini!
Hivi ni nani huyu anayetaka kulinganisha mt Kilimanjaro (Liverpool) na kichuguu (Chelski) cha pale kwa Mtogole???
Mourinho hana ubavu wala historia ya kushinda Anfield kwenye decisive games kama hizi. Rejea 2005 na 2006!!
Atachukua city na ndio Maana nikasema hapo nyuma kwamba Liverpool nafasi ya Kushiriki CL next season ameipata Lkn sio ubingwa coz Ushindi Wa liver Ktk game yetu ya 27 ni droo vinginevyo tunawafunga!
Hahahaha! Haya bana ngoja tusibri tar27 ndo tutaona mwelekeo!
Atachukua city na ndio Maana nikasema hapo nyuma kwamba Liverpool nafasi ya Kushiriki CL next season ameipata Lkn sio ubingwa coz Ushindi Wa liver Ktk game yetu ya 27 ni droo vinginevyo tunawafunga!
Atachukua city na ndio Maana nikasema hapo nyuma kwamba Liverpool nafasi ya Kushiriki CL next season ameipata Lkn sio ubingwa coz Ushindi Wa liver Ktk game yetu ya 27 ni droo vinginevyo tunawafunga!
ukibishana na Ntuzu au huyo agosti 8 kuhusu chelsea hawawezi kuongelea mpira kiuhalisia wao ni chelsea chelsea chelsea.........the league table doesnt lie,the best team is on top,the've won 10 games in a row....others are struggling to string three wins together!!!the title is liverpool's to lose!!!! wengine subirini liverpool apoteze mechi ndio mpate kombe
btw hata chelsea akimfunga liverpool inabidi wasubri man city pia afungwe na timu ingine!!!
liverpool kombe liko mikononi mwake mwenyewe,man city anaombea liverpool apoteze points LAKINI chelsea anaombea liverpool na man city wote wapoteze point...halafu hawa wandugu hapa wanaongea utafikiri wanaongoza ligi kwa point 10 kumbe wako nyuma kwa point kadhaa.
Basi wewe ni mganga Mkuu, na kwa maneno yako hakuna haja ya Liverpool na Chelsea kucheza mechi zao zilizobaki maana umeshampa ubingwa City, Mpira hauko ivyo mpira ni dk 90 na zile za nyongeza!
1. Je uliweza jua kua C. Palace atamfunga chelsea?????????
2. Je uliweza jua Cardif City atamfunga City?????n.k
Si ajabu yawezekana wewe ni mmoja wa wale walioiamua mechi ya City na Liverpool kabla haijachezwa dk 90 kwa kusema City atashinda,,,,,,Football is a game of chance, its all about the 90mins ++, not blah blah kabla ya mechi kuchezwa ingekua ni blah blah basi kusingekua na haja ya kuzipeleka team uwanjani
Acha mahaba inatambulika kote Ulimwenguni kua EPL Liverpool yuko ktk nafasi nzuri ila bado siona bingwa timu yoyote kati ya hizo tatu yaani Liverpool, Chelsea na City ina nafasi tofauti yao ni possibility tu.
Mourinho alisisitiza kutokupoteza game pale Etihad Ili abaki Ktk title race na kwa sasa msimamo wake ni km ule Wa pale Etihad Kwahiyo Siku Hiyo mjiandae Vzr Maana hamchelewi kukimbia thread yenu km juzi baada ya city kusawazisha!

Ndo mana tunasema kupata kwako ubingwa unavizia man city au liver aharibu. Ila sie liver kuchukua ubingwa hatutegemei matokeo ya yeyote yule, hatima yetu ipo mikononi mwetu.
Ktk Watu waliotaka na kuombea city afungwe Mimi ni mmoja wao! Pekua post zangu utaona!
Mijadala km hii kabla ya game Ktk michezo kote duniani ipo! Sasa km Wewe huoni nani anaweza Kua bingwa Mimi Naona!