Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hii game city wanashinda, huyu Suarez kama hajalambwa red sijui kishapanic na city wameshajipanga vizuri naona
 
Nakubaliana nawe ila kukuweka sawa ni kwamba watani wakubwa wa jadi uingereza ni Moyez na Rogerz, fuatili historia vizuri. Naomba kuwasilisha.

Liverpool ilitokea kwa Everton, at that time kuna mtu mmoja alitaka Liver iwe kampuni mwenzake akakataa hapo ndipo Liver ilipotokea coz jamaa anayetaka kampuni akahama na mashabiki wakamfuata wakwambia 'u'll never walk alone' tuko na wewe
 
Nimewaambia Silva atawazalisha...sasa ameshawapeleka leba...bado kujifungua tu..
 
Liverpool ilitokea kwa Everton, at that time kuna mtu mmoja alitaka Liver iwe kampuni mwenzake akakataa hapo ndipo Liver ilipotokea coz jamaa anayetaka kampuni akahama na mashabiki wakamfuata wakwambia 'u'll never walk alone' tuko na wewe

Usijifanye mbishi...katika soka la Uingereza, wapinzani wa jadi ni United na Loserfools...huyo Everton ni mtani wenu wa jadi, na si mpinzani..
 
Liverpool ilitokea kwa Everton, at that time kuna mtu mmoja alitaka Liver iwe kampuni mwenzake akakataa hapo ndipo Liver ilipotokea coz jamaa anayetaka kampuni akahama na mashabiki wakamfuata wakwambia 'u'll never walk alone' tuko na wewe

haya nashukuru kwa kunielimisha
 
Lakini BR anatakiwa apewe heko kwa kuwabadili hawa wachezaji kama Henderson, Flanagan, Skrtel, Sturridge. Ikumbukwe hii ni timu ile ile iliyomaliza nafasi ya 7 msimu uliopita lakini mwaka huu wanacheza tofauti na wanapata ushindi kwa magoli kibao. Liverpool wanastahili kubeba kombe EPL ili ushindani in top of the league uzidi kukuwa. Wasipolibeba msimu huu nadhani wanaweza kurudi kugombania position ya 7 na Man Utd Moyo wa kiushindani utakufa na wanaweza kumkosa Suarez wasipobeba kombe.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…