Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Teh Teh Teh

Haka Ka thread Siku hizi kamechangamka Siku hizi!

Khe Khe Khe Khe Khe kumbe Wana Liverpool mmefufuka!

Acha kabisa..si humu tu, hata mtaani, eti siku hizi wanatamba nao...

Hawa jamaa wasiposhinda kombe msimu huu, wengi watakufa kwa hasira..
 
we lazim ni manure unapepepepe sana
 
Acha kabisa..si humu tu, hata mtaani, eti siku hizi wanatamba nao...

Hawa jamaa wasiposhinda kombe msimu huu, wengi watakufa kwa hasira..

Mkuu kwa utamu wa soka tunalotandaza cku hizi hata ungekuwa wewe ungeongea tu...!
BR is the man!
YNWA!
 
Andazi babu yako, huna lazima ya kuchangia kwenye thread yetu ushaona Special so hatuhitaji kusifiwa tumekuwa hivi muda tu bila ya ww
 
hahahahah

Gerrard is not a world class player????

Nimecheka sana aiseee!!!!!

Yes. He isn't. He is a fantastic player, but not world class. He is just English class!

Look at him when he performs with his national team...he is usually at the margin...a world class player should be able to perform at the best level in club and national competitions..
 
Acha kabisa..si humu tu, hata mtaani, eti siku hizi wanatamba nao...

Hawa jamaa wasiposhinda kombe msimu huu, wengi watakufa kwa hasira..

Mkuu ubingwa hawachukui!

Maana Siku chelsea wakitua hapo yani hao watoto wote na BR watawekwa mfukoni!

Hats matokeo ndio sisi Chelsea tulikua tunayaomba!
 
Acha kabisa..si humu tu, hata mtaani, eti siku hizi wanatamba nao...

Hawa jamaa wasiposhinda kombe msimu huu, wengi watakufa kwa hasira..

Mkuu kwa utamu wa soka tunalotandaza cku hizi hata ungekuwa wewe ungeongea tu...!
BR is the man!
YNWA!
 
Hangaika na dunia wewe
 
Andazi babu yako, huna lazima ya kuchangia kwenye thread yetu ushaona Special so hatuhitaji kusifiwa tumekuwa hivi muda tu bila ya ww

Muda tu? Umeona hii thread ilivyo doro? Ndio mko page ya 300+ mlikuwa wapi kama siyo kujificha?!? Timu inafanya vizuri ndio inajitekenya na kucheka mwenyewe!

Kwanza, haupo levo yangu...ukishafikisha makombe 20 ya EPL...ndio utastahili kinijibu #MburukengeOrijinowewe ..
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…