Nina swali kwako! Ivi Liverpool Ktk timu kumi zenye kuongaza kifwedha iko nafasi ya ngapi?
Na Je ni sahihi kuilinganisha na Everton na liverpool?
Jose alipokua Fc Porto alikua na timu yenye uwezo mkuubwa kifedha km Chelsea, Internazionale au Madrid? Na Je Kwanini alifanya Vzr na kina Deco, McCathy na Tiago ambao walikua wachezaji wadogo sn tena wasio na majina km walivyokua wakati ule kina Gaucho, Seedorf, Kaka na Viera etc?
Msiwe mnaongea tu! Ubora Wa Jose duo kwa Chelsea tu au Madrid au Internazionale!
Umesema ni shabiki mzuri na wa kitambo ktk soka. Now tell me,tokea Mourinho atue Porto,ilimchukua muda gan mpk kushinda ligi ya ureno?! Na muda gan mpk kushinda Champions ligi?! Na je huoni ni muda mfupi sana toka BR achukue liverpool na mafanikio aliyowapa mpk ss?! Kwa kigezo cha muda tu,BR is the best, achana hata na hayo mengne anayoyajua ila hutaki kukiri
Asante mkuu kwa kumkumbusha ndugu Ntuzu kuhusu kigezo cha muda... kwa kweli alichofanya BR pale Liverpool FC ni maajabu ya soccer.
Umesema ni shabiki mzuri na wa kitambo ktk soka. Now tell me,tokea Mourinho atue Porto,ilimchukua muda gan mpk kushinda ligi ya ureno?! Na muda gan mpk kushinda Champions ligi?! Na je huoni ni muda mfupi sana toka BR achukue liverpool na mafanikio aliyowapa mpk ss?! Kwa kigezo cha muda tu,BR is the best, achana hata na hayo mengne anayoyajua ila hutaki kukiri
Mkuu Ivi inakuaje mpk mnamlinganisha Jose na BR? kwa lipi BR awe Zaidi ya Jose?
jamaa wamekuwa over excited na kukaa juu pale kwenye msimamo wa ligi....BR na Mou wako kwenye rank tofauti kabisa za ukocha....wasubiri BR ashinde hata EPL 2, FA cup za ya moja na angalau afike Fainali moja ya CL within 2 years ndo kidogo tuanze kumtaja kwenye makocha bora....sasa hivi ni mapema sana..
Swali langu la msingi hukujibu,hivyo ni wazi umekubali hali halisi. Timu gani ambayo Mou amewahi kufundisha yny bajeti ndogo na kuipa ubingwa au angalau hata kuifikisha tano bora?! BR kwasasa yuko vzur,haimaanishi yuko rank sawa na Mou ila huo ndio ukweli kaka.
Fc Porto...wale underdogs waliowatoa Man U na kwenda kushinda Champions league 2004 ...
pia 2003 walishinda UEFA Cup..
Swali langu la msingi hukujibu,hivyo ni wazi umekubali hali halisi. Timu gani ambayo Mou amewahi kufundisha yny bajeti ndogo na kuipa ubingwa au angalau hata kuifikisha tano bora?! BR kwasasa yuko vzur,haimaanishi yuko rank sawa na Mou ila huo ndio ukweli kaka.
Brendan yuko ranki moja na Kocha wa Everton Martinez, AVB, kocha wa Spurs Tim na vijana wengine:
ranki ya Mourinho ni hawa hapa: Pep Guardiola, Jupp Hykens(aliwapa Bayern Ubingwa na Madrid 98); Carlo Ancelotti bingwa katika ligi za nchi 3; Italia, Ufaransa, Uingereza.
fikiri kabla ya kubisha.:wave:
Mkuu nilichoona ni kwamba Watu hawampendi Jose na ndio Maana wanajaribu kulinganisha na BR mtu ambaye ndio kwanza anaanza!
Jose ni kitu ingine kabisa! Wala sio sawa na huyo BR wao! Na uzuri BR mwenyewe binafsi anamfahamu Vzr kabisa Jose Kua ni nani
Jana hapa walikua wanapiga mikelele kwamba lazima tupoteze kwa PSG Lkn wao wameona! Tena niliwambia Kua PSG hatopata goli ata moja hawasikii!
Na nikaenda mbali Zaidi nikawambia Chelsea ndio kiboko ya Barcelona na Munich na timu kubwa zote za EPL! Hawataki! Sasa ufanye nini Mkuu? Nikuwaangalia tu!
Mkuu Ivi inakuaje mpk mnamlinganisha Jose na BR? kwa lipi BR awe Zaidi ya Jose?
Ni kosa kumlinganisha Jose na BR ilo lipo wazi,Tena kufanya hivyo ni kumkosea Jose heshima yake!! Tuwe wapenda soccer na si wapenzi wa team zetu tu, Labda sijaelewa mnaongelewa ki upande upi, kwa tuzo za kimsimu huu ama ki mafanikio yao ya nyuma?
Humu ndani hamjibu hoja bali mnaleta siasa.
Mkuu mimi nilikuwa naongelea hususani kwa msimu huu ndo nikasema BR kamfunika José sana tu ukizingatia kikosi alichonacho na performance.