. Wachana nao usibishane nao waache waandike wao Yao hawayaoni wala wengine hawakumbuki waliyokuwa wakibebwa unafiki tu umewajaa siku zote nasema wao hongera hawajui kuja kutoa wao wanasubiri mengine Kama Belo alivyosema ukipata nafasi Kama Hiyo tumia kwani aliyaona zamani yake Kama ya hapa ila Mie napenda mkiongelea muongelee upande wote miwili sio LFc tu wewe usiogope mtu Sema tu hongereni Kama mnataka kulaumu kamlaumu Refa.our top scorer suarez ana magol 28, na hakuna hata moja la penalty, Danny ana magol 20 na hana hata penalty..na magol yao ndo yanatuweka hapo tulipo..BTW penalty za leo zote zilikuwa fair mkuu, au tuliangalia game tofaut???
hakuna penalty ya kupewa hata moja.
Ubingwa wa kutegemea penati za kujidondosha upo shakani. Msemakweli ni City watakapotinga Anfield. Pool watazoa peneti ngapi?
our top scorer suarez ana magol 28, na hakuna hata moja la penalty, Danny ana magol 20 na hana hata penalty..na magol yao ndo yanatuweka hapo tulipo..BTW penalty za leo zote zilikuwa fair mkuu, au tuliangalia game tofaut???
hakuna penalty ya kupewa hata moja.
. Wachana nao usibishane nao waache waandike wao Yao hawayaoni wala wengine hawakumbuki waliyokuwa wakibebwa unafiki tu umewajaa siku zote nasema wao hongera hawajui kuja kutoa wao wanasubiri mengine Kama Belo alivyosema ukipata nafasi Kama Hiyo tumia kwani aliyaona zamani yake Kama ya hapa ila Mie napenda mkiongelea muongelee upande wote miwili sio LFc tu wewe usiogope mtu Sema tu hongereni Kama mnataka kulaumu kamlaumu Refa.
Atakuwa alikuwa anaangalia Tbc
Mshukuru refa kwa mbeleko zake za uhakika. A draw was a fair result.
Ubingwa wa kutegemea penati za kujidondosha upo shakani. Msemakweli ni City watakapotinga Anfield. Pool watazoa peneti ngapi?
Mshukuru refa kwa mbeleko zake za uhakika. A draw was a fair result.
5.29pm BST
GOAL! West Ham 1-2 Liverpool (Gerrard 71)
Gerrard goes the other way, and it's West Ham's turn to be wronged.
5.28pm BST
PENALTY TO LIVERPOOL
69 mins: Penalty! The phrase 'evening things up' springs to mind, as Adrian gets the ball at Flanagan's feet, but the Liverpool man goes down and the ref points to the spot.
usiumize kchwa na haterz..tushasema ubingwa kwetu ni bonus trackUnakumbuka balloon ball vs Sunderland ilivyoinyima Liverpool EPL title in 2009 sababu ya ufala wa ref ? Hadi leo sijasahau
Leo Zamu yetu na sisi
usiumize kchwa na haterz..tushasema ubingwa kwetu ni bonus track
Mshukuru refa kwa mbeleko zake za uhakika. A draw was a fair result.
Liverfools refa kawabeba sana leo
Liverfools refa kawabeba sana leo