Well said mkuu..YNWA.Wakuu, tunaweza tukasema LiverpoolFc, isharudi kwenye ubora wake, kwa kazi nzuri sana BR anayoifanya kwenye Team, ila nadhan umefika muda sasa John. W. Henry ampe support ya kutosha kwenye usajil unaokuja, kama alivyopewa Daglish kipind kile, na ningependa kuona AYRE anaachia ngazi, katucost sana kwenye usajili tangu aje BR, first it was Dempsey, akafanya uzembe jamaa akachukuliwa na Spurs dk za mwisho, then baadae tukashuhudia MK anaenda dortmund under our nose, hivyohivyo ikaja kwa willian na Salah ambao wote walienda ChelshiT, na juz tu tulishuhudia Saga ya Konoplyanka, tukashindwa kukamilisha deal kwa uzembe tu AYRE, ingekuwaje kama BR angewapata wachezaj wote hao???..tungekuwa mbali zaid ya Hapa..nadhan tunahitaj DM na left back mmoja mzuri na AM mmoja wa kutoa competition kwa kina Little phil, luis Alberto na Suso (naskia loan ikiisha kule Almeria, anarud next season). kwa mtazamo wangu nadhan kwa DM atatufaa sana yule Fernando Reges wa FC PORTO, kipind cha usajil january, scout za liverpool zlikuwa zikimfatilia sana, ni mzuri saaaana aisee, nadhan atatoa competition kubwa sana kwa Lucas, na ukiangalia umri wa Our fantastic captain unazid kusogea...Ila Kiukwel BR amefanya kazi kubwa sana, na inapendeza kuona fans wenzetu wa pale ENGLAND wanampa support ya kutosha kama tuvyanyavyo millions of fans across the world.
#RedOrDead ..#YNWA
Well said mkuu..YNWA.
Wakuu, tunaweza tukasema LiverpoolFc, isharudi kwenye ubora wake, kwa kazi nzuri sana BR anayoifanya kwenye Team, ila nadhan umefika muda sasa John. W. Henry ampe support ya kutosha kwenye usajil unaokuja, kama alivyopewa Daglish kipind kile, na ningependa kuona AYRE anaachia ngazi, katucost sana kwenye usajili tangu aje BR, first it was Dempsey, akafanya uzembe jamaa akachukuliwa na Spurs dk za mwisho, then baadae tukashuhudia MK anaenda dortmund under our nose, hivyohivyo ikaja kwa willian na Salah ambao wote walienda ChelshiT, na juz tu tulishuhudia Saga ya Konoplyanka, tukashindwa kukamilisha deal kwa uzembe tu AYRE, ingekuwaje kama BR angewapata wachezaj wote hao???..tungekuwa mbali zaid ya Hapa..nadhan tunahitaj DM na left back mmoja mzuri na AM mmoja wa kutoa competition kwa kina Little phil, luis Alberto na Suso (naskia loan ikiisha kule Almeria, anarud next season). kwa mtazamo wangu nadhan kwa DM atatufaa sana yule Fernando Reges wa FC PORTO, kipind cha usajil january, scout za liverpool zlikuwa zikimfatilia sana, ni mzuri saaaana aisee, nadhan atatoa competition kubwa sana kwa Lucas, na ukiangalia umri wa Our fantastic captain unazid kusogea...Ila Kiukwel BR amefanya kazi kubwa sana, na inapendeza kuona fans wenzetu wa pale ENGLAND wanampa support ya kutosha kama tuvyanyavyo millions of fans across the world.
#RedOrDead ..#YNWA
Ila kesho shuhuli ni pevu

Mechi iloyobaki ngumu kwetu ni game ya norwich city tu..zngne zote nyanya...
Asenane asante pia kwa kunirahisishia job natangaza vita mechi zote 8 zilzobak lazima niondoke na point 3 every game!
Jamani humu ndani Mimi kuanzia Leo ntakua nashinda humu ndani nikiroroma mpk ile siku yetu ya game ya Liverpool na Chelsea ichezwe!
Napenda kuwambia hivi siku hiyo jeshi langu la The Blues chini ya Happy One Jose Mourinho Tunakuja kuwapiga!
In Chelsea We Trust
Mkuu Jaslaws, game za Norwich ndo ambazo Suarez huwa anafunga anavyotaka, huwa mara nyiing sana hakosi hat-trick au bao 4 kila akicheza na Norwich..wabaya wetu Stoke city na southampton tushamalzana nao, hao ndo nahis huwa wabaya wetu saaaaaana..Hawa ChelShit na Man Shitty na Kawaida yaan BIG CLUBS zinakutana na MASSIVE CLUB....Tushindwe sisi Tu.