Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sielewi hata unachoongea zaidi tu ya kujichekesha. Haya nyie ambao mnaweza ligi, tangu Liverpool amepotea mmeshinda European Cups ngapi? Mnategemea kuzipata lini? Au umejisikia tu kuhororoja?

☆Steve
 
Yaani umetumia dakika zote hizo kuandika shit kama hii, sasa twende kazi
 
Kama hilo kabati litawapa any major trophy then good for you liverfools
 
I think you have forgotten that your team is mediocre because the problem is not only to keep the lead but also to restore the lead is something you are incapable of, and if it happens is very rare you mediocre,

You have the history but have no happiness [emoji40] [emoji40]
 
Dawa yenu kuwapotezea tu. Maana mnaandika kama vile hamjui ukweli wenu. Let's see mwisho wenu utakavyokuwa
 
Dawa yenu kuwapotezea tu. Maana mnaandika kama vile hamjui ukweli wenu. Let's see mwisho wenu utakavyokuwa
Kwani ni uongo?? Your squad has got no quality to make you step up and win any thing bigger as you used to be, now you have got only history and nothing more

You differ not with someone who was leading in the class to score higher marks in primary level and unfortunately find him self struggling to get those marks in secondary level and begin to mourn ''i had higher marks'' but at the moment he cant score them,

Your history is really outstanding but you cant do it any more, let those who are capable do it while you are watching. When you are capable bring forth your history and trophies

But i wonder why you always mention historical trophies!!!! What about historical drought of those trophies?? You never mention it

1.UCL 2005-2017 .......
2.EPL 1990-2017........

[emoji115] [emoji115] [emoji115] that also deserves to be a real history of yours liverfools
 
You cant come here and start to combobulate one of the Greatest soccer club around the World!
So please if you have any negative issues against Liverpool go and post on your personal wall!
Being a bomboozled is a cardinal sign of empty-bold-head about soccer!
You dont know anything about Liverpool.
I strongly defend our famous jersey:Kopites-Red!
Get out here please,we dont need you
This forum is for Liverpool family to make their tete-a- tete and you are not among us
Get out kid!
 
The Undeniable Truth is, Your Team is RISING team and Not a Big Team! That is Why You Have Rivals in EPL, Neither Man U, Liverpool nor Arsenal is Your Rivals, Whether You Want or not! Before 2004 nothing known about Chelsea... No History, No Known Legend etc.. You Have only Veterans like De Matteo, Babayaro and Vialli....

You have only Rising Team that is established 2004! You can't Compare Your Team with Arsenal, Liverpool and Man You...
Before Becoming Big Team Firstly Create Your Own History and Legends....
 
Kama hilo kabati litawapa any major trophy then good for you liverfools
Pinga kwa hoja. Umekosa cha kusema unarukaruka. Hilo kabati lenu hata mkipewa miaka mia haliwi kama la Liverpool kamwe! Hata kama tukiacha kucheza mpira. (Bitter truth) [emoji4]

☆Steve
 
Acha kujichosha mzee. Unadhani hawajui? Katimu chenye UCL trophy moja, eti kanakuja hapa kushindana na Liverpool.

☆Steve
 
Acha kujichosha mzee. Unadhani hawajui? Katimu chenye UCL trophy moja, eti kanakuja hapa kushindana na Liverpool.

☆Steve
mlisema mnachukua ubingwa this season vip imeshindikana mmebaki kwenye vihistoria uchwara hahahaha,hizo historia zenu ndizo zinaifanya club yenu iwe ya hovyohovyo msipoangalia hata lercercity watawazidi
 
Watatuzidi nini? Ya kwako imetuzidi nini? Onyesha hyo historia yenu isiyo uchwara hapa.

☆Steve
 
mlisema mnachukua ubingwa this season vip imeshindikana mmebaki kwenye vihistoria uchwara hahahaha,hizo historia zenu ndizo zinaifanya club yenu iwe ya hovyohovyo msipoangalia hata lercercity watawazidi
Achana nao bhana, AC milan alisha jikalia zake kimya hawa ndo bado midomo inawawasha lakini ukweli wanaujua
 
Pinga kwa hoja. Umekosa cha kusema unarukaruka. Hilo kabati lenu hata mkipewa miaka mia haliwi kama la Liverpool kamwe! Hata kama tukiacha kucheza mpira. (Bitter truth) [emoji4]

☆Steve
Liverpunga imebaki jina tu ..mengine hakuna kitu!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…