Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

lol, and then what happened??? utofauti wake na Sturridge ni rangi tu ya mwili..

Hapana. Stoolridge ni kimeo aisee...toka aanze kucheza kwenye senior teams mwaka 2006 hadi sasa ana jumla ya games 155. Wakati Phil kaanza mwaka 2009, na amecheza jumla ya games 131. Yaani Stoolridge kaanza misimu mitatu kabla ya Phil, lakini tofauti kati yao ni games 24!!! Nani yupo injury-prone hapo?!?
 

wote ni wale wale tu...
 
Mig, clyne, moreno, skrtel, lovren, lucas, allen, milner, ibe, firmino, ben 10
 
Guys tupenu updates wengine hatupo karibu na tv
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…