LIVE Updates za Beijing Auto Show 2024 (25 April - 4 May)

Nimeona hii kitu.

Kuna makala nimeona wanasema Apple (kwa mfano) anahitaji China kuliko China inavyomuhitaji Apple.

Kuna moja ikasema Bentley mauzo yake 22% anategemea China.

Tesla soko lake la pili kubwa duniani ni China, baada ya nyumbani Marekani.
 
Mchina nyoko

Angalia jinsi anavyochuma mabilioni ya dola huku afrika kisha anazipeleka nchini kwake.

Mchina anavuna mabilioni ya dola huku afrika kupitia:
1. Bidhaa za viwandani, mfano nenda pale kariakoo uone, check mapikipiki yalivyo jaa hapa nchini mpaka imekuwa kama uchafu, zote zile ni hela zimeenda China.

2. Kupitia kandarasi mbalimbali tunazowapa hasa za ujenzi
 
😂👐
 
Hivi serikali yetu haiwezi kuona fursa angalau kuwashawishi moja ya makampuni ya Electric cars mfano BYD kutoka china waje kuwekeza nchini?

BYD wako kasi sana. Ni future (Toyota) soon tutaanza kuyaona kila mahali.
Magu aliwapa UK wachimbe nickel pale bukoba,
Kwanini asinge waambia wajenge kiwanda cha kuzalisha hizo battery za Gari ili kupunguza gharama za uendeshaji na kuleta ajira Kwa wa tz.

Lakin jiwe akasaini ile mkataba wenye Thamani ya pounds £ 500 millions, harakaharaka kama chizi vile, bila kujali maslahi mapana ya Nchi 🇹🇿
 
Lamborghini Urus SE
Wakali kutoka Italy, Lamborghini wametuletea plug in hybrid (PHEV) ya kwanza kutoka kwao
Lamborghini Urus SE, ambayo ni SUV.

Hii ni kwa wanajamiiforums waliokataa kununua Lamborghini kwa kisingizio inakunywa sana mafuta, Haya Hybrid hii hapa, ina average consumption ya 12 L/100km (8.3 km/L)

Urus SE ina twin-turbo 4.0L V8 engine ikiwa na mota za umeme ambazo kwa pamoja zinakupa horse power 800, na maximum speed ya 312 km/h. Urus kwenye EV range inaweza kufika hadi 60km.

Design ya Urus ni unyama, kwanza wameleta muundo mpya wa taa za LED, wamebadirisha muonekano wake wa mbele kuanzia grille na bumper, na nyuma wamesema design imekua inspired na Gallardo (Hii ilikua model ya Lambo miaka ya 2003 hadi 2013).

Ndani utajiona kama pilot wa jet fighter, kuna 12.3-inch touchscreen ikiwa na upgraded "Human Machine Interface" (HMI).
Your browser is not able to display this video.

Lamborghini wanasema Urus SE imepunguza madhara kwenye mazingira kwa silimia 80 ukifananisha na model iliotangulia.
 
Lamborghini Revuelto

Lamborghini hawakuishia kutuletea Urus SUV pekee, wakaleta na first ever supersport hybrid car, iitwayo Lamborghin Revuelto. Hii ni model inayofuata baada ya Aventedor.


Hii ni 6.5L engine V12 (ndio sijakosea. Sio V8 ni V kumi na mbili) hybrid plug-in (HPEV) ikiwa na electric motors 3, jumla tunapata karibia 1000+ horse power. Top speed ya hii gari ni 350 km/h na acc ya 0-100 km/h ni 2.5 sec. Battery ina ukubwa wa 3.8 kWh na inakupa chini ya kilometa 15 range.

 
Hivi serikali yetu haiwezi kuona fursa angalau kuwashawishi moja ya makampuni ya Electric cars mfano BYD kutoka china waje kuwekeza nchini?

BYD wako kasi sana. Ni future (Toyota) soon tutaanza kuyaona kila mahali.
Sijui ni wizara ya mambo ya nje au ya viwanda, wangefanya mchakato mapema.

Angalau BYD Tanzania ikawepo, tukawa wa kwanza kwa East Africa.

Mwaka jana BYD washaingia South Africa na wana magari wanayatengeneza locally. Inaleta faida kwa ajira na tunapata 0 kilometa cheap.

BYD Kenya ipo ila showroom tu na Nigeria.
 
Ipo siku 🙏🙏
 
Hiki chombo haswa... Niliona walikuwa wanakipima mapafu jamaa mmoja account yake inaitwa CARWOW kule YouTube. Chuma kimetulia sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…