Mkuu turipotie tu, mbona mimi niliripoti mechi yetu na Sofapaka hadi tunafungwa goli la tatu ndo simu ikaishiwa chaji.
berko,j abdul,mwasika,nadir,twite,chuji,nizar,domayo,bahanus/tegete,kavumbagu,niyonzima
Hee kumbe upo mtani?
........................ kama kawaida yao wachezaji wa mataifa SITA tofauti... Uganda, Rwanda, Burundi, Ghana, Congo na Tanzania...............
Nimerudi mtani na'report,najua tutasawazisha tu tatizo kuna hatari hiki kipindi cha 2 kitachezwa dk 20 tu,Jamaa wanajiangusha sana
mi yanga dam. naomba matokeo pliz
Soo ndo ngapi ngapi, tupe matokeo bwana. msifukuze Bradts tuNasemajee....ishakuwa soo!
kivipi mkuu!!!Mi nafikiri kuyumba kote huku ametusababishia Minziro