naona mwaka huu ushindi utaenda Burundi huyu kijana wala haangaiki ni mwimbaji asili
Lazima tu.......excuse kibao........ Fiona huyoClouds hawatakosa cha kujitetea
yaani huu mchuano ni mkali bado.
Burundi ushindi ndo unaelekea mwaka huu
Burundi ushindi ndo unaelekea mwaka huu
aisee huu ndo mtanange ujue....Tz tuna kasafari karefu
burundi ndo yule mkaka mwenye ndevu anapiga gitaa??
Tena safar yetu mwendo wa kinyonga.. Na EBSS yetu uwiii nataman kulia
huyo mdada wa wapi
Tena safar yetu mwendo wa kinyonga.. Na EBSS yetu uwiii nataman kulia
huyo mdada wa wapi