miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,011
- 3,708
Marudio saa nga???@DEMBA na wadau wengine
saa nne hivi itv. anza ku tune saa hizi.
Shemkwee..
Long time aisee,miss uu
Heshma yako
Shemkwe miss u big time...natumai u mzima wa afya kipenzi!!
yaani hata uchangamfu wa kumpritend hawezi.
Heaven on Earth, tupiamo vipicha kidogo kunogesha, japo ya huyo mafeelings nasi tulio mbali tumjue.
Heaven on Earth, tupiamo vipicha kidogo kunogesha, japo ya huyo mafeelings nasi tulio mbali tumjue.
saa nne hivi itv. Anza ku tune saa hizi.
nimekuja..japo nimechelewa saana
Mapozi mengii
Tum pigie tu kura
tene ya kidingding dizain hivi huwa namwangalia navyocheza ila kiukweli Jumapili hii kanifurahisha sana kaimba vizuri ingawa Iani alitaka kumfanyia mtima nyongo wasiwasi wangu kura zinaweza sizitoshe akasepa.mr mapozi
Hisia is the best jmn