Live Updates Tusker Project Fame Season 6...

Live Updates Tusker Project Fame Season 6...

tene ya kidingding dizain hivi huwa namwangalia navyocheza ila kiukweli Jumapili hii kanifurahisha sana kaimba vizuri ingawa Iani alitaka kumfanyia mtima nyongo wasiwasi wangu kura zinaweza sizitoshe akasepa.

hawezi kutoka.that one najua kabisa......please kumbuka ku vote pia
 
Heaven on Earth nimeuona huu uzi sahv ukielea jukwaan nkashtuka, kumbe unajbu hoja za watu za tangu jana. Ntampigia hisia kwa kweli
 
Last edited by a moderator:
Mwenzio Jana i voted..ilibid kumlazimisha Shem wako avote pia.
will vote daily....
Plz vote for Hisia jamani....anajitahidi tukiacha UTanzania...

jana alijitahidi sana............I like his sprit

me hapa ofisin nawaambia wavote.wengine hata hawaangaliagi
ila ndio washavote hivo........
 
Ndandalo tedo genekai furahi miss strong apitakujilamba Ntakasi mwallu atug Ruttashobolwa okaoni blairdoll kimpe bht The Dude na wadau wengine ambao huwa manaingia kwa mtaa huu, kutoka katika kina cha moyo wangu naomba niwakumbushe kura mara nyingi kwa mshiriki hisia ili aweze kuendelea kuwepo ndani ya tusker academy
ili kumpigia kura chukua simu yako nenda kwenye uwanja wa message andika TUSKER 12 KISHA TUMA KWENDA NO 15324 waweza piga kura mara nyingi uwezavyo. pia unaweza kupiga kura freely kwenye mtandao ingia www.tusker.mobi kisha ufanye registration halafu uvote.
natanguliza shukrani zangu za dhati.
 
Hisia huyo from Tanzania........

Hisia-TPF6.jpg

Aaaaah safi sana Heaven on Earth. sasa kura zangu amepata.
 
Last edited by a moderator:
Ndandalo
tedo
genekai

furahi
miss
strong

apitakujilamba

Ntakasi

mwallu
atug
Ruttashobolwa

okaoni

blairdoll
kimpe
bht
The
Dude
na wadau wengine ambao huwa manaingia kwa mtaa huu,
kutoka katika kina cha moyo wangu naomba niwakumbushe kura mara nyingi
kwa mshiriki hisia ili aweze kuendelea kuwepo ndani ya tusker academy
ili kumpigia kura chukua simu yako nenda kwenye uwanja wa message
andika TUSKER 12 KISHA TUMA KWENDA NO 15324 waweza piga kura mara nyingi
uwezavyo. pia unaweza kupiga kura freely kwenye mtandao ingia
www.tusker.mobi kisha ufanye
registration halafu uvote.

natanguliza shukrani zangu za dhati.

Hofu ondoa mi naendelea kumvotia kijana.
 
we huwa unaona wapi kama kina josh wanaongoza, maana nimetafuta link kwenye web sijaona.

ngoja nikutafutue halafu nikuwekee mwaya......unaona Hisia yuko lakin kura bado we

need to vote and voteeeeeeeee
 
Back
Top Bottom