Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,234
- 26,754
- Thread starter
- #1,601
uwiii ian amenikatisha tamaa
kaniboa huyu eti Hisia was shouting.............hahaha
uwiii ian amenikatisha tamaa
Erick kamsifia Hisia
Juliana kamsifia Hisia na watu wameshamgilia sana
ehe kumbe nyambura anasauti imara kiwango hicho leo wakenya wote wameua
Kamrarua vibay kijana wa kibongo eti alikuwa anabweka kwa makeleleuwiii ian amenikatisha tamaa
Erick kamsifia Hisia
Juliana kamsifia Hisia na watu wameshamgilia sana
Duh Ian kiboko..
Ian alimaanisha band ya Hisia was shouting but at the enda sauti yake was the best
Duh Ian kiboko..
Hisia was gooooood....Regardless of what Ian Said......Hisiaaaaaaaaaaa...
labda kinyume......ila kasema hisia was shouting
Hisia was good bana