Leak
Platinum Member
- Feb 22, 2012
- 52,942
- 43,598
citenda.Haya bado mmoja
citenda.Haya bado mmoja
Fess na Sitenda wanatoka leo
Umejuaje mama? Fess and Sitenda wako nje!!!!!!Fess na Sitenda wanatoka leo
hahaha hope saved.
Mwingine out in Sitendaaaaaaaa
Anadharau yule mwache akafanye shughul nyingine
hapa nipo, hapa nipo....!!
leo pana kuwa karibu na kideo bana..
Jamani niambieni nani katoka jana, mwnzenu huku tanesco kama wanakisasi na sisi vile, umeme unakatika kwa saa 24.
Cc Heaven on Earth atug Ruttashobolwa na twin wangu miss strong
mmh mbona wametoka wawili jamen au contestant hawakuruhusiwa ku vote. Nani alipata kura nyingi za viewers?
Jamani niambieni nani katoka
jana, mwnzenu huku tanesco kama wanakisasi na sisi vile, umeme unakatika
kwa saa 24.
Cc Heaven on Earth
atug Ruttashobolwa na
twin wangu miss strong