Live Updates Tusker Project Fame Season 6...

Live Updates Tusker Project Fame Season 6...

Haya hizo josh ndio zinaingia hata zikiimba pumba zitashangiliwa tuu na wanyumbani
 
I Amesema kama josh na mwenzie wata rap atawatoa.
 
Amos and Josh wakenya watawarudisha kwenye academy
 
daa kuna watu kama wamezaliwa wanaimba vile.
 
Wameshangiliwaje...kama Ion kapitisha basi imekubalika
 
Jmn unajicikaje wenzako wakishangiliwa hivyo then ww usichangiliwe kiivyo. This guys wanapendwa wit their ppl
 
daaa vijana hawa ni hatari sana.

hila presidaa wa prob na citenda wanaweza kwenda wote home. kinyume na hapo presidaa anaondoka.
 
Ingawa Amos and Josh wameshangiliwa sana hata hawajanipa kabisa manake wameimba kawaidaaaaaaa. Sema tu siasa za Ke zitakuwa zimeingilia kati, ngoja tuone nani yuko OUT!!!!!
 
Jmn unajicikaje wenzako wakishangiliwa hivyo then ww usichangiliwe kiivyo. This guys wanapendwa wit their ppl

atug hiyo ndio inaitwa nyumbani ni nyumbani.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom