Live Updates Tusker Project Fame Season 6...

Live Updates Tusker Project Fame Season 6...

leo laimprove at to Hames
Juliana kasema hiyo style haimfai...

Drama queen na Juliana wnabishana hapa leo

Ian kamsifia nae Hope
 
leo laimprove at to Hames
Juliana kasema hiyo style haimfai...

Drama queen na Juliana wnabishana hapa leo

Ian kamsifia nae Hope

huyu mdada kabishana na judge I kuhusu wimbo wakina josh na hamo. lakini naona judge I was right.

Where can you stand?
 
Nipo ndani ya nyumba ila saloon bas watu wamekomaa na taarifa ya habar ....wanaonekana kwao ving'amuz ndo hvyo
 
how are you atug?

leo kati ya citenda na presidaa wa prob mmoja ana kwenda home.
 
Last edited by a moderator:
Nipo ndani ya nyumba ila saloon bas watu wamekomaa na taarifa ya habar ....wanaonekana kwao ving'amuz ndo hvyo

hhha niko na mama angu ye anataka taarifa ya habari tu asikilize ishu za mvungi......hapa nimemforce tu

niweke TPF
 
Back
Top Bottom