Nilufer
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 9,863
- 14,348
hawa wanapenda kurefusha hii kitu. Tpf itaisha hii bss itakuwa bado.leo no kuimba halafu litawahi kuisha
hela walizowahi kushika hawa wasanii mie hoi
hawa wanapenda kurefusha hii kitu. Tpf itaisha hii bss itakuwa bado.leo no kuimba halafu litawahi kuisha
hela walizowahi kushika hawa wasanii mie hoi
usiku mwema mapi........,
nna mausingizi hapa balaaa
yaani hata siwaelewi wanataka tpf iishe kwanza labda ndio waendeleeleo ni maswali ya
sikui kura tunapigaje hapo
- pafomansi gani ilikuwa mbaya kuliko zote
- ulishawahi shika sh. Ngapi maishani
- ulishawahi kuona'ga' milioni hamsini
- .....................
- ..............
hawa wanapenda kurefusha hii kitu. Tpf itaisha hii bss itakuwa bado.
usijali kurefusha ni kopi ya bongomuvi na pati 1 na 2 zisizo na maana ambazo ushazizoea
DEMBA Chocs Ruttashobolwa miss strong tedo jana attendance nimwekewa x lol
nimesoma updates zenu nimecheka tu,Bior jamani nilikuwa nampenda sa katoka sijui
Comedian mwingine ntampata wapi!!!!!!!!see u baadae today siwezi kumiss labda tanesco wafanye yao
Usiku wa balaa kwa waliopo probation na mashabiki wao umetimia ninaombeo duos wafutwe na waondolewe kabisa wanaharibu bajeti ya msosi kwenye academy
Nipo jn na leo