Live Updates Tusker Project Fame Season 6...

Live Updates Tusker Project Fame Season 6...

Sitenda ana strong voice akiwa serious atafika mbali sema over confidence/dharau zitamponza!!!
Sauti yake km Ruth Matete wa mwaka jana

sasa huyu hisia wetu na alivyo ant social akiingia probation sijui nani atamsave
 
jamani asanteni, naipenda sn project fame lakini ndio hivyo tupo mbali, sometimes picha muhimu.
 
Thanx ma ppl.. Nimefuatilia comments zenu zoote. Jn nilikuwa kwenye haruc ya rafik so sikupata muda wa kuchek. Leo tutakuwa woote.
 
DEMBA Chocs Ruttashobolwa miss strong tedo jana attendance nimwekewa x lol

nimesoma updates zenu nimecheka tu,Bior jamani nilikuwa nampenda sa katoka sijui

Comedian mwingine ntampata wapi!!!!!!!!see u baadae today siwezi kumiss labda tanesco wafanye yao
hata mimi nimesikitika ntamkosa. halafu wewe nimeshakustukia j'mos mahudhurio yake ni ziro.
 
Back
Top Bottom