Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,233
- 26,753
- Thread starter
- #81
kina kibonde kesho,sijui watasemaje
full kujitetea.....Millard niliona aanavyotetea kwenye blog yake
Nyambura waoooohhhhhhh
kina kibonde kesho,sijui watasemaje
man city wameswazisha
miss strong nyambura nae yupo poa sana.
miss strong nyambura nae yupo poa sana.
Jennifer kaambiwa astick to low shoes Ian bwana
Uwii ma team
mmh Nyambura nae hatareeeeeeee
umeona enheeee...Hisia zamu yake yaja..yaani
Heaven on earth Erick Wainaina ni huyo aliyemwambia nyambura kwamba anampenda becouse she is from nyeri like his mom
full kujitetea.....Millard niliona aanavyotetea kwenye blog yake
Nyambura waoooohhhhhhh
tedo karibu,,huyu Nyambura ana sauti wajameni
nambieni pafomansi ya Hisia
Yaani huyo ni noma......naona Hisia yupo ndani ya koti jekundu!!!