Live Updates Tusker Project Fame Season 6...

Live Updates Tusker Project Fame Season 6...

halafu nikuchekeshe umeme tangu jana eti ndio umerudi sasa hivi, yaani nusura nilie nilivoona muda unaenda tu bila umeme kwa siku ya pili.

Duhh polee sanaa ningekusaidia kulia
 
mi leo mtanisimulia tu
apa nasababishwa kuangalia mechi ya chelsea na man city

Tunakuwakilisha na tutakuwa tunakupa updates.. Nijulishe matokeo koz m ni fan wa chelsea
 
Angel km anatumia effort kubwa ktk kuimba leo
 
Angel anaweza kuingia probation.. Biour akitaka kukamata watuu aendelee hvyo hvyo na kucheza.. He's enjoying
 
hisia nasubiri mnambie kaimbaje uyu kijana
mategemeo yangu ni juu yake
af hakuna bolingo iloimbwa wavunje kama bior??
 
Back
Top Bottom