Live Updates Tusker Project Fame Season 6...

Live Updates Tusker Project Fame Season 6...

TUSKER PROJECT FAME (TPF6)


Leo mtanange bado unaendelea baada ya Eviction show ya jana,waliokuwa probation walikuwa wiki iliopita walikuwa


Fess - Kenya
Jennifer – Kenya
Michelle – Kenya
Bior South Sudan
Undercover brothers - Uganda

Baada ya wiki nzima ya kupiga kura na michakato mingine Bior was Saved by the mass (Voters), Fess was saved by the Faculty, Jeniffer was saved by her fellow Conteastant hivo walioaga TPF 6 alikuwa Michele na Undercover brothers..So sad hasa hawa Undercover Brothers nilihisi walihitaji kuendelea kuwepo

This Week


Washiriki waliobakia ni 13 huku Tanzania tukiwa tumebakia na washiriki wawili Mkaka Hisia na Mwanadada Angel.Shindano ndio kama limeanza we have some weeks to go……

Wale wenzangu wa siku zote tusogee jamvini DEMBA, atug, mwallu The Dude, Preta, marejesho na wengine wote niliowasahau nisaidien kuwaita……….. charminglady mwambie ram our sincere condolence for the death of her beloved.

Zimemfikia mum...

Niko mbali kidogo lakini muda sio.mrefu nitakuwa luningan, asante kwa kuniita!
 
Last edited by a moderator:
watu wanaendelea kubadilika nyambura naona anakoomaa sana
 
Back
Top Bottom