Live Updates Tusker Project Fame Season 6...

huyu commedian kidogo kajitahidi.
 
Tumbo lote linaniuma mwenzenu kwa hofu ya shem wenu!!!!
Nafuatilia nje ya box......nahitaj updates zenu jamani
 
hahaha patrick hawezi kutoka kaimba vizuri na nimempa kura nyingi sana. na bila shaka anaweza kuwa anaongoza kwa kura.
 
Tumbo lote linaniuma mwenzenu kwa hofu ya shem wenu!!!!
Nafuatilia nje ya box......nahitaj updates zenu jamani

twin mi nipo hapa kukuwakilisha. shem kashaperform. amefanya vizuri sanaaaa
 
Nimeingia ulingoni.......roho inauma jamani.Nyambura naona kajaaliwa mzigo hapo juu
 
Back
Top Bottom