Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,233
- 26,754
- Thread starter
- #861
Hahahahaha..drama queen
Kweli the drama queen.....style hizi mie zitanipita tu
Hahahahaha..drama queen
we hukosagi,uko mbele kama tai
Kweli the drama queen.....style hizi mie zitanipita tu
mie huyu drummer queen hata sielewi anaimba nini
Huyu style yake ya nywele kama lemba la mzee Mundu!!!!
Mie mwenyewe sijaelewa nilikuwa nataka amalize tu
ana uthubutu sana
hiyo styl ya nywele dah
Hizi style,tuwaonage tu wenyewe wanafanya
haya sasa jukwaa linaanza kupata moto na mkenya