miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,011
- 3,708
Kichwa changu hcho......kila mtu atafute chaka Burundi
hila nani alimchagulia mavaZi.
Neyo huyo kijana wa wapiiiii
Ooooooh nooooouma Kijana wa burundi, Daaa hii show hatari sana
hahaaaaaa mie nilienda kwa Bior ila nimeona hapana
Kichwa hataare hiki
hila jamaa uimbaji kwa leo sijapenda hasa chorus japo amesifiwa.
tedo jamaaa katisha mbayaaaa
Haya mashindano yanaushindani mkubwa sana...Ni kufa kupona aisee..
Fiol, Patrick, Sithenda na Nyambura on Probation!!!!!