Leak
Platinum Member
- Feb 22, 2012
- 52,942
- 43,599
mimi naona bora hata last week alifanya vizuri.
kwakweli ngoja nisubiri maana watu wana boronga.
mimi naona bora hata last week alifanya vizuri.
mmmh hapa naanza kupata wasiwasi na angel.
Hahahaha
Yani hii ni direct PROBATION
fess atasev tena leo.
Leo.. Hembu tumwone fhioner
I like Fiona.....
leo hakuna probation tena atakuwa evicted tu.
Huyu bint wa Rwanda kaimba poa
best leo unapika nini? hauko active
Huku nilipo kijijin network inanizingua.. But am wit u