Live Updates Tusker Project Fame Season 6...

Live Updates Tusker Project Fame Season 6...

Leo TPF on citizen wanafanya mazoezi ya tungo zao. I hope zitakuwa poa
 
Hiki kipindi kinarushwa na station gani,siku gani/ zipi na saa ngapi kinaanza?? Naomba mnijuze

Angalia Citizen tv Kenya kila weekday sa mbili na nusu au Citizen na EATV kila jmosi na jpili sa moja na nusu
 
Hayo maneno kwenye Bold, Mokoyo, usijitie hashuo hapa maana DEMBA anapendwa na mwanaume mmoja tu ambaye ni mimi....ukiendelea hivi ujue kikojoleo chaku nakitundika kwen uso wako kwa msaada wa babu Asprin
DEMBA please note kwa tahadhari
Mhe. Kaizer vita ya mapenzi huiwezi kabisa maana huyu Mzee mwenzio Asprin unayetaka kumtumia yeye ni mjomba wangu kwa babu mkubwa. Labda nikujulishe Krismasi hii nitakuwa na bibie DEMBA uchagani kwenda kusherehekea
 
haa haaa we Mokoyo siku hizi unataka kuwa mfalme mswati ama? maana una kalist fulani hapa jf
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom