Live Updates Tusker Project Fame Season 6...

1460990_712077635471571_381842164_n.jpg

DEMBA atug tedo genekai @litle angel Ntakasi furahi na wengineo mnaona!!!!!!!!!!!!

we need to vote and vote jamani for our boy HISIA
 
Last edited by a moderator:
Hiki kipindi kinarushwa na station gani,siku gani/ zipi na saa ngapi kinaanza?? Naomba mnijuze
 
1460990_712077635471571_381842164_n.jpg

DEMBA atug tedo genekai @litle angel Ntakasi furahi na wengineo mnaona!!!!!!!!!!!!

we need to vote and vote jamani for our boy HISIA
nimeona best, hebu ngoja niwaite na marafiki wengine japo watusaidie kuvote ingawa sina uhakika kama huwa wanachek show,
baby yangu Kaizer wifi yangu KOKUTONA mwanangu Judgement jirani yangu Munkari dadangu zangu AshaDii na gfsonwin na wanajumuiya wenzangu kina Erickb52, Chocs sansharie kiwatengu Mokoyo christina ibrahim amu nawaombeni jamani mtusaidie kumvotia mshiriki pekee kutoka Tanzania aitwaye HISIA ili aweza kurudi na ushindi wa TUSKER PROJECT FAME
Ili kumpigia kura, chukua simu yako nenda kwenye uwanja wa sms andika neno TUSKER 15 kisha tuma kwenda no. 15324. au piga kura online ingia www.tusker.mobi fanya registration kisha upige kura for free.
natanguliza shukurani
 
baby DEMBA kura napiga daily jamani

CC mwallu
 
Well done DEMBA. Nagonjeka ndio maana nipo kimya but navote na watu wangu daily
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom