Live Updates Tusker Project Fame Season 6...

Live Updates Tusker Project Fame Season 6...

masikini hawa washiriki walikuwa na kazi kubwa sana wiki hii.sijui kama walilala maana ya national anthem ya SA walijifunza wiki hi. yaani hadi wamechoka
 
Huu uzi unatambaa ni hatari...hongereni kwa kuwa punctual..
 
Fainal za nyuma Ian huwa anaimba kihispania na huyo pande la mama Kavutha naye huwa anaburudisha kwa sauti nyororo leo sijaona
 
Back
Top Bottom