Live Updates Tusker Project Fame Season 6...

Live Updates Tusker Project Fame Season 6...

Ni kweli Hisia ni mzito sana lakini that is his personality....shy and easygoing....Anakuwa yeye sababu music anayoifanya ni ya kusikiliza zaidi....akija tutamwambia abadilishe baadhi ya vitu kidooogo ili atleast awe marketable kibongobongo....ila bora ya yeye kuliko msechu...anachangmka kisifasifa

Umenena m2 wangu. Msechu hovyo kabisa kitambi kama kiroba. Hisia aimbe ki Ben Paul
 
SAUT SOL in the house.........
kuna wimbo wao mmoja naupenda sana sijui wataimba
 
Nahurumia wanamuziki wetu wakiTanzania....Sijui lini tutafanya MUSIC.....MAANA WENZETU NI ANOTHER LEVEL...TRUTH HURTS...
 
jamani hivi tangu hii TPF ianze ni mshiriki gani ulikuwa unamuadmire sana
 
Back
Top Bottom