Chocs
JF-Expert Member
- Aug 21, 2012
- 8,447
- 4,843
Last edited by a moderator:
Umeme umerudi.......ndo hivyo hawezi kushinda.One contestant has to be the winner......
too bad that contestant is not him
hivi mnajua ni hisia na daisy tu ndio ambao hawajawahi ingia kwenye probation zaidi ya ile probation ya wote?
hivi mnajua ni hisia na daisy tu ndio ambao hawajawahi ingia kwenye probation zaidi ya ile probation ya wote?
Daisy kaimba...
mahudhuri yako hapa ni hafifu sana, punishment inakuhusu