Mapi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 6,848
- 2,741
hahahaha...silaha kubwa na muhimu ya kikeSijamtukana ndo maana anacheza na mimi....!!!
hahahaha...silaha kubwa na muhimu ya kikeSijamtukana ndo maana anacheza na mimi....!!!
Pole banaa mie ni mfatiliaji mwanzo mwisho.......the thing is anaimba vizuri sana he has a voice fulani
na ni mtu anaependeza kuimba nyimbo za taratibu.sa hivi wamebaki wa4 tu na wote ni vichwa hasa hao
wawili from Burundi and Kenya thts why naona possibility ya kushinda haipo.......halafu efforts zake nahisi
pia kuna mdaa naona hayuko serios saanaaaaaaaaa
hahahaha...silaha kubwa na muhimu ya kike
Alaf naona akiperform audience imepooza,yan huyu kijana kushinda ni bahati japokuwa he is talented
Alaf naona akiperform audience imepooza,yan huyu kijana kushinda ni bahati japokuwa he is talented
namhurumiaaaaakae na kamusi ya matusi karibu, maaanaTeh teh ntamfanya mwanasesele dk 2
kumbe tupo wengi sahivi...pooooleNimepitwa sijui kinachoendelea
the girl wa video yao ni Nyambura...........
TANESCO< TANESCO>TANESCO................mmeharibuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
dah! kweli aisee, wale madogo wa Burundi na wenyewe wanajua ile mbaya! thx for an honest answer.Pole banaa mie ni mfatiliaji mwanzo mwisho.......the thing is anaimba vizuri sana he has a voice fulani
na ni mtu anaependeza kuimba nyimbo za taratibu.sa hivi wamebaki wa4 tu na wote ni vichwa hasa hao
wawili from Burundi and Kenya thts why naona possibility ya kushinda haipo.......halafu efforts zake nahisi
pia kuna mdaa naona hayuko serios saanaaaaaaaaa
Jamani mbona Wengine video zao nzuri au tumehujumiwa kweli...teh teh