dah! Yaani hizi show za weekend ndani ya muda wa misele kwangu ni full majanga to the point huwa nashindwa kufuatilia. I saw the guy cku moja, and in fact, alini-impress ile mbaya! so, wewe ambae unafuatilia, WHY do you think hawezi kushinda? With due respect, I hope jibu lako haliwezi kuwa au halitakaribiana na lile litakalobeba dhana ya kwamba "Watanzania huwa tunahujumiwa!"hawezi kushinda........but atleast he has made it all the way