Live Updates Tusker Project Fame Season 6...

Live Updates Tusker Project Fame Season 6...

Heaven on Desert...Demba and wadauz wote huyu hisia tumtafute tuje kuminterview humu...tumeplay ka-role jamani... Ana maswali ya kujibu

kabisa umenena. tumefanya kazi kubwa sana
 
huyu mdada namuonaga anatangaza style.alishatoaga single yake

BTW haka ndio ka dress style ka leo Nyambura..Jennifer na huyu wamevaa ya style hii
 
naona kama Hisia wana mtumia sana kwenye back up singers...ni mzuri
 
watu na mivoice taao Ruth na Hope

natamani nisimame nicheze hile sebene
 
sikulala sikulala jana
mwenye nyumba kaingiza buzi lake yee
ndi ndi ndindi


miss em days of utoto
 
Duuh Hope katisha!!! Miss strong poleee ila mpaka whatsAp mlifikajefikaje na huyo mtu jamani lols...

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Duuh Hope katisha!!! Miss strong poleee ila mpaka whatsAp mlifikajefikaje na huyo mtu jamani lols...

Sent from my BlackBerry 9810 using
JamiiForums

B'mdogo wa best yangu chuo.....ila ananiboa swaga zake!!!!yaan nmechefuka
 
Back
Top Bottom