Jallen
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 517
- 196
Msechu kwa kurudia nguo hiyo nguo aliivaa sijui kwenye event gani imefanyika
siku si nyingi leo tena kairudia huku kabadili tu viatu
Yaani hata event aliyovaa hujui ila unaikumbuka hiyo nguo?
Msechu kwa kurudia nguo hiyo nguo aliivaa sijui kwenye event gani imefanyika
siku si nyingi leo tena kairudia huku kabadili tu viatu
SA atakuwa kaCopy......uhuru 94 kwa 61 wap na wap???!!!
Jmn madam ajifunze huku tusker jmn
mmmhhh!! Erick anapata kaziiihahhaaaaaaaa we muache huyu H.O.E anajifanya mkaguzi sana
Joey Is Sooo Beautiful But Bado Nina Gubu Kuhusu Sheila Mwanyigha.....she was missed kwa kweli...
Kwa kweli huyu msechu hajawahi kunivutia. Ckumpendaga hata chembe. He's too much. Ni bora Hisia mwenye mapozi kuliko huyu mwehu
mmmhhh!! Erick anapata kaziii
twin wangu history umesoma wapi? south africa imepata uhuru miaka ya mwanzon 1900 ila majority rule ndio ilianza 94.
Anikome miaka 800.....!!!mshamba ile mbaya
Jmn madam ajifunze huku tusker jmn
H.O.E mtataYaani hata event aliyovaa hujui ila unaikumbuka hiyo nguo?
Heaven on Desert...Demba and wadauz wote huyu hisia tumtafute tuje kuminterview humu...tumeplay ka-role jamani... Ana maswali ya kujibu