Live Updates Tusker Project Fame Season 6...

Live Updates Tusker Project Fame Season 6...

Ananiboa kweli king'ang'aniz wa mambo ukimchamba anafanya kaz yakubadilisha picha kwenye profil pic yake watsapp,nmemblock anafanya kaz yakubadil no.....sijui ametumwa v.uzi langu???

hhhaa watu kama hao wanaboaje..umeblock bado anakufatilia.........hana kazi huyo......wenzake mjin wantafuta Pesa

sio watu
 
mi hisia akiniimbia mida kama hii napitiwa usingizi

anabembeleza vizuri mno
 
jamani Hisia kumbe toka zaamani alikuwa anapenda kuvaa kale ka mzura kake DEMBA
 
Last edited by a moderator:
Ananiboa kweli king'ang'aniz wa mambo ukimchamba anafanya kaz yakubadilisha picha kwenye profil pic yake watsapp,nmemblock anafanya kaz yakubadil no.....sijui ametumwa v.uzi langu???
hahahahahahhaahahahaha....mchomolee umpe
 
mi hisia akiniimbia mida kama hii napitiwa usingizi

anabembeleza vizuri mno

Baby niko tayari.....kwako nitafanya lolote........

jana Mitch alisema usimruhusu Hisia amuimbie girlfrend wako
 
hivi huyu hisia atashinda kweli.. sijui ndo ya kina j4 idd best lad..
 
Back
Top Bottom