Live Updates Tusker Project Fame Season 6...

Live Updates Tusker Project Fame Season 6...

Yeah huwa zinafanana kabisa kasoro maneno. Jana BBC walikuwa wabaimva wasauz wenyewe inanoga sana. Thouh sifaham nani aliyemkopi mwenzie kati ya Tz na SA

SA atakuwa kaCopy......uhuru 94 kwa 61 wap na wap???!!!
 
Msechu....kelele acha Hisia abembeleze....ila i love you brothers....
 
Jmn davis nilimpenda na bado nampenda.. Haya waganda on stage
 
Back
Top Bottom