Nilufer
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 9,863
- 14,346
Jamani pacha wangu kavutha......
na wewe ni chinene?
Jamani pacha wangu kavutha......
Huu wimbo ni wimbo gani!!!!!!!!!!!!!sijaelewa
erick wainaina ako smart leo hadi raha
wimbo mzuri huu, japo wa huzuni
watu wanabadilika jamani huyu Wainana ukimuangalia kwenye wimbo wa Kitu kidogo
na sa hivi kuna huge diference
Mbona unamsifia sana Erick wangu
Ni wimbo wa taifa wa SA
ninachojua ni kwamba wimbo wetu wa taifa ni kopi ya hii kitu
kwan haziband wako figga umempiga kibuti?
Huu wimbo ni wimbo gani!!!!!!!!!!!!!sijaelewa
Jamani kuna ---- ananiudhi huku......
Hivi hizi national anthem ya SA na ya TZ ni ipi ilianza? Namaanisha nani aliyemkopi mwenzake?
twin mie na wewe tena