Live Updates Tusker Project Fame Season 6...

nimeona best, hebu ngoja niwaite na marafiki wengine japo watusaidie kuvote ingawa sina uhakika kama huwa wanachek show,
baby yangu Kaizer wifi yangu KOKUTONA mwanangu Judgement jirani yangu Munkari dadangu zangu AshaDii na gfsonwin na wanajumuiya wenzangu kina Erickb52, Chocs sansharie kiwatengu Mokoyo christina ibrahim amu nawaombeni jamani mtusaidie kumvotia mshiriki pekee kutoka Tanzania aitwaye HISIA ili aweza kurudi na ushindi wa TUSKER PROJECT FAME
Ili kumpigia kura, chukua simu yako nenda kwenye uwanja wa sms andika neno TUSKER 15 kisha tuma kwenda no. 15324. au piga kura online ingia www.tusker.mobi fanya registration kisha upige kura for free.
natanguliza shukurani

mi ndiyo nakuja leo jamani. sidhani kama nimechelewa, ngoja nivote
 
nimeshampa kura za kutosha..naona lakini yuko kwenye Probation
 
fanya hivyo ndugu yangu tupate raha siku ya jumapili

ae961-Hisia.jpg

nimepiga kura hadi nikaambiwa nipige tena kesho..

Afu DEMBA huyu mtu kumbe ni ME?
 
Last edited by a moderator:
Kenya hawana chao. Kura zao lazima zigawanyike n one of them lazima atatoka kesho
 
Are u thea ma ppl.. Tha show has just started all
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom