Live Updates Tusker Project Fame Season 6...

Live Updates Tusker Project Fame Season 6...

nimeona best, hebu ngoja niwaite na marafiki wengine japo watusaidie kuvote ingawa sina uhakika kama huwa wanachek show,
baby yangu Kaizer wifi yangu KOKUTONA mwanangu Judgement jirani yangu Munkari dadangu zangu AshaDii na gfsonwin na wanajumuiya wenzangu kina Erickb52, Chocs sansharie kiwatengu Mokoyo christina ibrahim amu nawaombeni jamani mtusaidie kumvotia mshiriki pekee kutoka Tanzania aitwaye HISIA ili aweza kurudi na ushindi wa TUSKER PROJECT FAME
Ili kumpigia kura, chukua simu yako nenda kwenye uwanja wa sms andika neno TUSKER 15 kisha tuma kwenda no. 15324. au piga kura online ingia www.tusker.mobi fanya registration kisha upige kura for free.
natanguliza shukurani

DEMBA, kwasababu nakupenda wewe kwa moyo wangu wote, nitampigia kura homeboy, cc: Kaizer
 
nimepiga HISIA 50 ile ya 51 wakanitumia ujumbe kuwa: samahani umfikia kiwango cha mwisho cha kupiga kura kwa siku...
Tatizo ni kuwa online wanaruhusu kura moja tu
online unaweza piga kura tano kwa cku na sio moja, so vote 5times per day
 
ubarikiwe sana

ndiyo nimemaliza zangu 51 kwa simcard 1 nitarudi baada na raundi ya pili -hebu anaejua anisaidie kwa wale wanaopiga online wanaona zinavyoongezeka kwenye counter je, hizi za simu kuna jinsi ya kuona zinavyoongeka?
 
halafu wameniboa kule washiriki wote wamewekwa page ya kwanza hisia ndo kawekwa page ya pili

ila we vote and vote
 
DEMBA, kwasababu nakupenda wewe kwa moyo wangu wote, nitampigia kura homeboy, cc: Kaizer

Hayo maneno kwenye Bold, Mokoyo, usijitie hashuo hapa maana DEMBA anapendwa na mwanaume mmoja tu ambaye ni mimi....ukiendelea hivi ujue kikojoleo chaku nakitundika kwen uso wako kwa msaada wa babu Asprin
DEMBA please note kwa tahadhari
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom