Nilufer
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 9,863
- 14,346
kwani bss wanashindwa nini kuweka kamera kama hizi za tpf? mtu unaona vizuuuuriiiiii
washiriki wote walikuwa wanaonekana weusi kama mkaa.
kwani bss wanashindwa nini kuweka kamera kama hizi za tpf? mtu unaona vizuuuuriiiiii
kwani bss wanashindwa nini kuweka kamera kama hizi za tpf? mtu unaona vizuuuuriiiiii
kuna mtu aliniambia iliisha saa 9;38
furahi akikusikia miss strong jf patakuwa sio mahala kwa maisha yako.
trust me. kama wasingekuwa wanapoteza muda ingeisha saa 4 tu.
kwani bss wanashindwa nini kuweka kamera kama hizi za tpf? mtu unaona vizuuuuriiiiii
hahhaaaaa patrick ndio kapo lol... miss strong siji uko wapi
mwaka ule washiriki wa tz
walikuwa wadada, mmoja kuna siku aliteleza akiingia stejini. unamkumbuka
jina lake?
mi namuangalia furahi anavyochokoa mioyo ya watu lol..
hahhaaaaa eti hadi saa 8 wanazidi kusisitizaa watu wapige kura nimecheka leo
washiriki wote walikuwa wanaonekana weusi kama mkaa.
Hivi huyu Dr. Mitch anafanya shuhuli gani? I wish he was a comedian!!
miss strong sijui leo yupo wapi? maana ninavyomfahamu pacha wangu yule. anaweza anzisha varangati hapa....mi namuangalia furahi anavyochokoa mioyo ya watu lol..
na we jana uliipata hiyo hasara
haaa haa haa Heaven on Earth sasa jiulize hizo kura za saa nane zilihesabiwa kweli?